Huu muda 2 years back ndo nlipigiwa na a certain ndugu analiaaaa pole jamani anko wanguuu.. the worst way kupokea taarifa of mama’s passing. Ndo nimeamka hata wenge la usingizi halijaisha.. Ndugu jamani wapunguzage kiherehere. Nilipigwa na kitu kizito kichwani 😪🤧
Mwisho wa Mwaka huwa na matukio mengi ya ajali Madereva na watumiaji wengine wa barabara tujitahidi kuwa makini zaidi maana Izraeli anataka kufunga Hesabu zake..........👿❌
“Guys,nimekua nominated kuwania tuzo ya MUIGIZAJI BORA WA KIUME pale @azamtvtz ;napenda kuwajulisha tu ilo kwanza kuhusu utaratibu wa kupiga kura na mambo mengine nitawajuza nikipata taarifa kamili ila all in all... TUNAENDA KUICHUKUA WANANGU 💪🏾!!!” #StayHigh#WeMove #161