Ntaanza kupost kazi za uhakika hapa zilizopo Dubai utatuma CV direct kwa mwajiri ukipata kazi mie usinipe hata Tsh mia niombee PEPO pekee ๐๐ฟ
"WOTE TUPATE"
Cv yako hakikisha ina picha yako na elimu na experience zako usisahau Skills ni KEY sana+ email yako na Telephone no yako
Hoteli ya Marehemu Lukuvi Dodoma. Imefungiliwa mwezi huu.
Leo ameiacha inawezekana hakulala humo.
Tunahangaika na dhulma na ufisadi; kuumiza wengine ili kubaki madarakani kwa njia haramu za kumwaga damu na kutesa.
Lakini ukweli utabaki kwamba; tulikuja utupu na utupu tutarudi.
Tupe oder yako tutakundalia vile unavyotaka kwa maelekzo yako Boss wetu๐๐
Hyo pilipili hapo ni yakituristi huwezi pata kwingine tofauti na kwa Tinahmantilie la X๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐
๐0687747579 "Hello mantilie"
๐Sgr station Dodoma
@sajo_mwaihabi Ok umeandika kana kwamba kila mtu anamjua Magoda wa Instagram.
Mimi simjui na hata account ya Instagram sina,nilichojua tu hapa ni kuwa Magoda ni mwalimu bas