Our party's stance on @Europarl_EN Foreign Affairs and Development Committees to withdraw the Annual Action Development Programme Assistance to Tanzania.
I have participated in the two-days official launch of the Common Youth Circle aimed to strengthening Youth Participation and Representation in Democratic Culture in Zanzibar. The launch was organized by @ZAFAYCO1 in partnership with the Konrad-Adenauer-Stiftung (KAS).
Tutamkumbuka Mhe. Suleiman Bungara (Bwege) kama mtu mwenye misimamo, asieyumba na anaesimamia kile anachokiamini. Bwege aliamini katika kusimamia maslahi ya watu bila ya kujali afya yake na siku zote hakuchoka kupigania haki. Allah ailaze roho yake mahala pema, Peponi; Amen.
A leader's address to the nation is public speaking not reading. So, when you find a leader reads what have been put down on table by his subordinates to exemplify what he has done for the nation, he either doesn't apprehend what he has done or he is deluding the nation. #2026年
Nikipokea fomu ya uteuzi ya kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC). Zoezi hilo limefanyika leo tarehe 30/8/2025 katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) zilizopo Maisara, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja.
Hongera sana kwa kuchagulia kwa kura 406 na Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa kua Mgombea Urais wa Zanzibar. Nakutakia kila la kheri katika safari yako hii na nitafuatilia kampeni zako kama mwananchi na raia wa kawaida. Kwa upande wangu safari yangu ya kisiasa imefikia ukingoni. 👋
Najua huna fedha lakini una moyo na uwezo wa kukitumikia Chama chetu. Umekua kada wa CUF kwa muda mrefu tokea kipindi cha Maalim Seif jambo ambalo limenifanya niwe na imani na wewe kuliko Mgombea mwengine yoyote. Mimi niko na wewe sio kwasababu ya fedha bali kwasababu #nakuamini.
Mzaliwa wa Mbeya, Msomi wa fani ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma, Muhandisi aliefukuzwa kazi kwa kugombea Ubunge kupitia CUF mwaka 2000, Mjumbe wa Baraza Kuu na Mwanachama kindakindaki wa CUF, Mama Rose Raphael Kahoji amechukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania.
Namshukuru Allah kwa kuniwezesha kukamilisha hatua moja muhimu ya kuchukua na kurejesha fomu ya Chama ya Kugombea Urais wa Zanzibar. Ni matumaini yangu kwamba kama nilivyoweza kukamilisha hatua hii ya awali, nitaweza pia kukamilisha hatua zote muhimu zilizobaki.
Leo tarehe 30/06/2025 nitachukua fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama changu cha Wananchi - CUF. Zoezi hilo litafanyika katika Ofisi za Wilaya ya Magharibi B, Kilimahewa, Unguja, Zanazbiar saa 5:00 za asubuhi. Namumboa Allah aniongoze katika kila hatua.
Political activism is the emotion, elections are techniques. If someone attacks you, answer immediately or be quite. Don't be you too much and never say you want to be the Chairman of the party, they will finish you off.
Nikiwa na ndugu yangu Shukuru Zouma hapa Seascape Hotel, Dar-es-salam katika mafunzo yanayoendeshwa na PYPA kwa Washiriki wa programs zao ambao wana nia ya Kugombea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Again, we've lost a symbolic leader, a life and soul, a man of parts and a blue-eyed boy in Mtwara. Personally I can say he left us at a pinch and up in the creek and sadly while this is happening once in blue moon to others, to CUF is all the range story nowadays. #KusiniHasGone
Nakutakia kila la kheri kaka @MkanzaIdd. Kuondoka kwako kumeniacha na majonzi sana. Hata hivyo, nafahamu ni ngumu kiasi gani kwa Kijana mwenye ndoto kubwa za Uongozi kama wewe kuendelea kubaki hapa. Mungu akutangulie katika kila hatua ya safari yako ya Kisiasa.
Siku zote katika maisha usijaribu kuigiza. Kua yule yule wa asili na simamia unachokiamini kwani hata utakapojaribu kuigiza bado nafsi yako itakwambia wewe ni yule yule. Ulinambia mara kadhaa juu ya Lipumba, ukaigiza kua nae karibu lakini leo nafsi imekurejesha katika asili yako.