Watanzania wenzangu ni watu wa kupuuza mambo mazito na kujikita na mijadala hafifu. Leo tulipaswa kuhoji uhalali wa ASP Jumanne Malangahe ambaye ni shahidi wa Jamhuri, aliyesimamishwa kazi Arumeru akituhumiwa kuweka vipande vya pembe za ndovu kwa huyu mzee na kumuomba Shs. 200M