Wiki ijayo nitafungua KESI dhidi ya IGP ili Mahakama Kuu ya Tanzania Arusha IWALAZIMISHE wakuu wa vituo vya Polisi (OCS) wapeleke MAHAKAMANI majina ya MAHABUSU wote kwenye vituo hivyo kila baada ya SAA 24. Huu ni WAJIBU wa Polisi kwa mujibu wa kifungu cha 33 cha CPA.
Mwezi April 2022 nilitoa TAARIFA kwa UMMA kuwa JESHI LA UHAMIAJI linaloongozwa na ANNA MAKAKALA lilipanga NJAMA za KUNIUA. Taarifa hiyo HAIJAWAHI KUKANUSHWA na WAHUSIKA. Kwa hiyo, NIKIFA, ijulikane kuwa UHAMIAJI ndiyo watakuwa WAHUSIKA WAKUU WA KIFO CHANGU.
Maza ananikubali. Kushoto ni Julai. Kulia ni leo. Kanitafuta saa mbili asubuhi anataka kuniona, nifike kwenye mkutano Mbezi Louis
Nimefika, amefurahi sana na akasema anataka kwenda Zanzibar siku ya wazee Duniani kushiriki na BAZECHA, nimpe maokoto (jiwe)
Nafikiri, nimebarikiwa!
Aliyekuwa JAJI MKUU, Marehemu AGUSTINO RAMADHANI alipochukua FOMU ya URAIS kupitia CCM mwaka 2015. Naiogopa sana ile SIKU ambayo WANANCHI wataona na KUAMINI kuwa MAHAKAMA ni TAWI la CCM na MAJAJI na MAHAKIMU ni WANACCM.
WATANGANYIKA wanaotaka KATIBA MPYA yenye Uhuru wa Zanzibar ni wabaguzi.WANZANZIBAR wenye MAMLAKA wanao chelewesha UHURU kamili wa NZANZIBAR sio Wabaguzi,na Djibouti 100% Viongozi Waislamu wamevunja Mkataba na DP World lakini wao sio Wabaguzi.Chawa mmepotezana. Itisheni vikao.
Ndugu Merdad Kalemani.Fahamu kwamba bado tuna kumbukumbu ya kamera zilivyo ondolewa nyumbani kwako baada ya tukio la kushambuliwa kwa risasi Mh Tundu Lissu.Usichokonoe kidonda kibichi. Nani ametuma wahuni kuchoma gari la CHADEMA moto?Tuko connected mpaka vyumbani mwenu.
After last night's vandalism and today's attack on our convoy, Chato responded to CCM thuggery by turning out in style, and for two hours we'd its full attention. Asante sana Chato!!!
Nina Maswali haya kwa Anayejua Maulid kitenge, Mkewe au watoto wanaishi mtaa gani Dar es salaam? Wanasoma wapi?
Nyumba namba
Gari lake namba gani?
Muda wake wa kuingia na kutoka kazini?
Maeneo anayopenda kutembelea?
Tunatakiwa kumjua huyu mtu
Gari ya CHADEMA imechomwa moto CHATO ??? Sio WANACHATO.Kanda ya Ziwa hawaipendi CCM kabisa kwa sasa.Huu ni Mkakati wa Kimkakati wa kuondoa maneno yanayo semwa dhidi yao.Ukipanda bangi kwenye shamba la mtu mwingine,Polisi wakazikamata,mwenye shamba ndiye atakayewajibika.
Gari yetu ya matangazo & vyombo vyake vimechomwa moto & kuharibiwa & wahuni wa CCM usiku wa kuamkia leo karibu & Chato. Lengo lao liko wazi: kututisha ili tuogope kufanya mikutano ya hadhara wilayani Chato leo. Hatutishiki & hatutakubali kutishwa. Tunaelekea mkutanoni Chato sasa.