Unakuwa mwanajumuiya kwa miaka mingi; unajitoa kwa jumuiya na kuwasaidia wanajuiya wenzako. Badae yanakukuta majanga; hakuna hata mwanajumuiya anajitokeza kukusemea au hata kuulizia unaendeleaje. Jumuiya haijumuiki na wewe π€
@TitoMagoti Nielezwe hata Kwa ukali tuu Kwan hiki chama sijui n shirikisho hakifanyi uchaguzi wa kuchagua kiongoz mpya au hiyo taasisi ni yake binafsi? Kwako wekezaj