Mwana Nyamala na Msasani ni maeneo ambayo wakazi wake wa asili walikuwa ni wamakonde
Hata majina ya mitaa tuijuayo leo katika maeneo hayo yanaakisi ukweli huu
Mwananyamala (kimakonde inamaanisha Mtoto Nyamaza "Mwana Nyamala")
Msasani ilitokana na kukaliwa na mmakonde maarufu kwa jina la Mussa Hassan. Wamakonde walikuwa wanashidwa kutamka jina hilo na kuita Muchachani ndio ikawa Msasani
Ulikuwepo?
@Roma_Mkatoliki Hivi @MwanaFA kwaini usichukue madini kwa huyu mwamba ukayafanyia kazi brother maana upo kwenye sekta sahihi kabisa, Tuna kukubali sababu wewe ni legend kwenye tasnia ya Music basi tutendee haki kwenye hili swala letu la kukuza vipaji Kwa hiyo 500M..
Dear God, open every door for the one who types AMEN. ๐ช๐
Not just any door, the right one. The healing one.
The breakthrough one.
If your hands arenโt too busy, type AMEN!