Lecturer,
Husband,
Father, Researcher
Former researcher at Ifakara Health Institute, Dar Es salaam. Tanzania
BAED(UDSM), MEd (UPI), MSc. SD (UI),Ph.D (GU)
#ToneTone ndo habari ya mjini
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Join the AU CIEFFA & ImpactHER Capacity Building Training 2026 and build practical skills in digital tools, entrepreneurship, financial literacy & gender equality in education.
🌍 Open to Africans
💻 Online
💰 Fully funded
📅 Deadline: 31 July
👉 https://t.co/c2LvO6hked
Haya ni maajabu.Yaani hii ndiyo tofauti kati ya viongozi waliochaguliwa na wananchi, wanaotumia nafasi zao na kuitangaza nchi yao, na wale wanaotumia madaraka kumtangaza ndugu Samia. Wakati wengine wanaitangaza nchi yao kwenye majukwaa ya kimataifa, wengine wanahakikisha kila jambo linazungukia jina la mtu aliyejipachika madarakani.
Tanzania inastahili uongozi unaoweka mbele maslahi ya taifa, si utukufu wa mdhalimu wa Kizimkazi. Ni jukumu letu kuendelea kupaza sauti mpaka tukomeshe haya mambo.
Tuendelee kuchangia ToneTone ili kufanikisha Baraza Kuu la Umma. Lengo letu ni kukusanya TSh milioni 334, na kila Tone, kubwa au dogo,linaleta utofauti.
TUENDELEE KUCHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
ToneTone, hatua kwa hatua, tutafikia lengo.
Utawala usiofuata sheria unafundisha watu kudai haki kwa nguvu…
Huyu mwalimu anafundisha Course ya PS 123: Government and Politics in Tanzania
Dola dhalimu wanamtishia, asitimize wajibu wake wa kufundisha kwa kutoa mifano halisi ya nchini kwetu. Sasa wanaingia mpaka madarasani wanapangia walimu nini wafundishe.
Sheria za Nchi yetu ziko wazi, huwezi kumshikilia mtu kituo cha polisi kwa zaidi ya masaa 24, kama itakua zaidi ya masaa 24 basi isiwe zaidi ya masaa 48 bila mkuu wa kituo kuomba ruhusa ya mahakama.
Leo ni jambo la kawaida watu wanashikiliwa kwenye vituo vya polisi na mahabusu za polisi kwa miezi 6, 3 nawengine hata 8.
Kuna watu wanapigwa na wanakua walemavu na wanaendelea kushikiliwa.
Hivi tunavyozungumza kuna vijana wa Chaso Mbeya walikamatwa na wanashikiliwa tangu tarehe 4/7 wengine wamepigwa vibaya na kuumizwa.
Mimi nilishikiliwa kwa zaidi ya siku 21 kwenye mahabusu ya polisi nikiwa nalala kwenye sakafu.
Huu utawala dhalimu unafundisha Wananchi kwamba Nchi hii hakuna sheria ni kila mtu kujitetea.
Kwa njia kama hizi nani ataheshimu mahakama za Tanzania, wanatumia Mahakama pale tu wanapoona inaweza kuwapa kile wanachokitaka… Huyu ni mhadhili wa chuo anafanyiwa hivi, mahakama inaona jambo kama hili ambalo polisi tangia mwanzo hawakufuata sheria.
Watanzania tuungane wote, tuchangie na tujenge taasisi itakayoondoa uhuni huu kwenye Nchi yetu.
DAR: Tamko hilo limetolewa na Wawakilishi wa Asasi za Kiraia #AZAKI - Tanzania, wakati wakizungumza na Vyombo vya Habari, Julai 16, 2026.
Fuatilia zaidi https://t.co/aFZMjWuesk
#JamiiForums#Uwajibikaji#Utawala
CCM wakishatoka Polisi na CHADEMA wakitoka Ukonga, ndipo waje kutafuta maridhiano na sisi wananchi ambao tumebeba majeraha, maumivu na gharama za mgawanyiko kutoka kila kona ya nchi!
🎓 PhD Opportunities by University - Published in Last 1 Week 📅 (12 Jul - 19 Jul 2026)
Exciting research opportunities across top European universities! Here's your weekly update of fresh PhD positions organized by institution:
🇧🇪 BELGIUM
KU Leuven - 22
https://t.co/YRTMoOBBkj
University of Antwerp - 4
https://t.co/0LT4JDCtDG
Hasselt University - 2
https://t.co/8cI8cqHVhA
🇫🇷 FRANCE
Paris Saclay University - 19
https://t.co/5xiMVupOD3
Inria - 3
https://t.co/HyAlnCmNo1
🇳🇱 NETHERLANDS
Delft University of Technology - 15
https://t.co/7K82t9Sbur
Eindhoven University of Technology - 6
https://t.co/WR3UWB8ATf
Utrecht University - 4
https://t.co/53MSCJzQyn
Leiden University - 4
https://t.co/CKOVxsJNG4
Wageningen University and Research - 3
https://t.co/ikzc0yfKTq
Radboud University - 2
https://t.co/Z63Ed6OqqX
Radboud University Medical Center - 2
https://t.co/iBQxH1blwU
University of Amsterdam - 2
https://t.co/GAU8oxEmjT
VU Amsterdam - 2
https://t.co/BFlsDV9y78
Tilburg University - 1
https://t.co/sr0o4GR6pQ
UMC Utrecht - 1
https://t.co/rcxBEumArK
University of Groningen - 1
https://t.co/AutdeqRyS0
University of Twente - 1
https://t.co/f6qD3qBVOp
🇦🇺 AUSTRALIA
University of Queensland - 7
https://t.co/4aZIiyjhfR
🇩🇪 GERMANY
Leibniz Gemeinschaft - 6
https://t.co/RErDtVEjuL
Max Planck Gesellschaft - 4
https://t.co/KrtSbsCMri
Ludwig Maximilian University of Munich - 3
https://t.co/yz93QqYx7t
Technical University of Munich - 3
https://t.co/JYCrYiVANw
Forschungszentrum Julich - 2
https://t.co/PFNuQu1uTL
Helmholtz-Zentrum Dresden-Rossendorf - 2
https://t.co/SZCt0SfC2K
University of Hamburg - 1
https://t.co/wkrmph9bcn
University of Tübingen - 1
https://t.co/iJidF8ewOR
🇩🇰 DENMARK
University of Copenhagen - 5
https://t.co/lxYOfQbPyJ
Aalborg University - 3
https://t.co/K6038xz9nG
Technical University of Denmark - 1
https://t.co/792e88gnOI
🇨🇭 SWITZERLAND
ETH Zurich - 5
https://t.co/CQ6jkCCwsc
University of Bern - 4
https://t.co/IuWz1TXYs3
Paul Scherrer Institute PSI - 2
https://t.co/ZoeiP0ODPo
The University of Lausanne - 2
https://t.co/Yvkm9HdvMB
EPFL - 1
https://t.co/L6PVOMKPKf
🇦🇹 AUSTRIA
University of Vienna - 5
https://t.co/cX42y6LNIc
TU Graz - 4
https://t.co/aw4h5I9kWu
🔍 Browse all open positions at https://t.co/hQSjuN2WDG
🚨 Join our WhatsApp channel https://t.co/d89Rl8ueXq
#PhD #DoctoralResearch #AcademicJobs #ResearchOpportunities #PhDVacancies #EuropeanResearch #GradSchool #Academia
TUMEFIKISHA TSH. MILIONI 140
Asanteni kwa mwitikio wenu mkubwa. Mpaka sasa, tumefanikiwa kukusanya TSh. Milioni 140 katika Marathon ya kufikia TSh. Milioni 334 kwa ajili ya kufanikisha Baraza Kuu la Umma.
Safari inaendelea.
TUENDELEE KUCHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Vitol yuko na nani?
Nani wamempa tenda ambayo Watanzania wanauziwa mafuta kwa usd 200-260 wakati Uganda anauziwa usd 83 na Msumbiji anauziwa usd 90.
Hawa Namaro waliosajiliwa Dubai mwaka 2023 ni kina nani? Wana uhusiano gani na wizi huu mkubwa unaoumiza Watanzania.
Vyombo vya habari Tanzania kwanini hamfuatilii na kuandika huu ujambazi unaongamiza Nchi kwenye wizi wa mafuta..
TPDC kwanini hawakutoa tenda shindanishi katika suala kubwa kama hili la mafuta.
Fikiria Kitendo Kama hiki!!!!
Mwalimu mkuu kwa miaka 28 alipogombea tu kupitia Chadema anaambiwa hajui kusoma na kuandika!
Katiba mpya na Free Tundu lissu ndio ajenda yetu.
@K255Leo@HecheJohn Lissu kaongea vitu vingi ambavyo tunaviona kwa macho yetu,kuna siku alisema huko mbele ni pagumu zaidi na kweli tumejionea kwa macho yetu wameuliwa maelfu ya Watanganyika,akasema tuspopata Katiba Mpya tumekwisha,nikweli tuspopambana tukapata Katiba Mpya tutajionea kwa macho yetu
@HecheJohn Wakati Lissu anaongelea kuhusu mapesa mengi kuwa kwenye uchaguzi wa Chama badala ya Ujenzi wa Chama wengi hatukuelewa!
Kwa sasa kila kitu Kiko wazi!
Mtusamehe baadhi yetu kwa kushindwa kung'amua kwa wakati
Tulisema wakati wa kampeini, tutasimamia ahadi zetu kwa Watanzania.
Tutajenga taasisi ya kubadilisha Nchi hii na kuwapa Watanzania Nchi isiyo na upendeleo, ufisadi, rushwa kuoneana na kuumizana.
Tutahakikisha rasimali za Nchi yetu zinatumika kwaajili yetu sote sio kikundi kidogo cha watu.
#NoReformsNoElection
🌍 Apply for the Commonwealth Young Leaders Fellowship 2026—a 3-month leadership programme for young leaders from Commonwealth countries. ⏰ Deadline: 19 July 👉 https://t.co/Q90fhMEA5x
Showcase your leadership impact. #Leadership#YouthLeadership#Commonwealth#Fellowship
Watu wanaendelea kuchangia #ToneTone mpaka tufikie lengo.
TUENDELEE KUCHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Call for Applications: Eric & Wendy Schmidt AI in Science African Faculty Fellowship 2027
Are you an early- or mid-career faculty member or researcher at an African university or research institution? This is your opportunity to advance your research through Artificial Intelligence (AI) while collaborating with world-class experts at the University of Michigan.
Fellowship Highlights:
2-year fellowship program
12 months at the University of Michigan (USA)
US$35,000 annual stipend
Free housing, health insurance, visa & travel support
Conference and publication support
US$50,000 pilot research grant upon return to Africa
Eligible Research Areas:
• Biological & Biomedical Sciences
• Earth & Environmental Sciences
• Engineering
• Physical Sciences
• Mathematics
📅 Application Deadlines (2027 Cohort): • Phase 1: October 5, 2026
• Phase 2: November 23, 2026
Don't miss this opportunity to strengthen your research, build international collaborations, and contribute to advancing AI-powered scientific discovery in Africa.
🔗 Learn more and apply: https://t.co/Ukwz14DW3G
📢 Job Ad: Looking for a doctoral researcher!
I am very excited to share that my project "Shifting Narratives: Misperceptions and Factual Information on Immigration" has received funding from the DFG for the next three years! 💫
📌 I will conduct the project at the MZES, University of Mannheim and I am currently looking for one doctoral researcher (75%) to join me from 1st of October onwards or soon thereafter!
Please share with talented MA students or recent graduates with an interest in migration, political behaviour and experiments. 👩🏫
Feel free to reach out if you have any questions!
💢 Application deadline: 21st of July
More info below and here: https://t.co/lvFAyBXupx
2M ya kudanganya UMMA kweli?😂🙌
Sasa nimeahidi tena 3M fikisheni 200M nifanye muamala hata leo leo.
Mimi sijaanza leo kuichangia CHADEMA hii ni mbegu napanda na siku ya KUVUNA ni WAKOLONI WEUSI WOTE WAPO JELA.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎