Ushiriki wa vijana katika utawala bora kwa maendeleo ya kiuchumi. Kwa kuwashirikisha vijana katika michakato ya kufanya maamuzi, serikali zinaweza kutumia uwezo wao, mitazamo mbalimbali na ujuzi ili kuendeleza ukuaji wa uchumi endelevu na shirikishi.
#TanzaniaYouthForum2023
Kuna Faida Mbalimbali za Vijana kwenye Uongozi. Zikiwemo;
1. Ukuaji binafsi.
2. Kuleta athari chanya kwenye jamii kwa ujumla.
3. Kuwa Kiongozi wa baadae.
#tanzaniayouthforum#Dodoma2023#KijanaNahodha
Iโve attend Youth Debate in Dodoma region with a topic titled โYouth Participation in Leadership and Good Governance for Economic Development.โ
#TYF#TYC#KijanaNahodha