@254_icon Bei iko poa huko, huku Kenya wakulima wengi upeleka kwa grain board I think Unga Limited na bado it's not enough juu wakulima ukataa na mahindi allegedly. Mabroker na wao uuzia hizi brands ukuja once zikipotea na unapata haijakauka poa.
@MeranSays Nikitoka Dandora kuna bumps mii uiskia najua the next bumps nafaa kuturn after the rumble so trust me mara mingi madere wa mat ukua autopilot. Bora kaende