@George_Ambangil Jibu zuri sana kwa ambae hajaelewa nikwama mahamuzi ya yanga walio yafanya nisawa na mchezaji wa kagera alichokinya yani kifupi yanga wametoa boko
@ReaganMichael5@shaffihdauda1 Refa katafasiri sheria kwaio penalty imetolewa kwa tafasiri ya sheria kuhatarisha usalama wa mwenzio.
Unakumba nusu fainali ya game ya Juventus vs Madrid refa anatoa penalty dakika za mwisho watu waliongea sana but yeye alisema anasimamia sheria,
@josephgidion_ @ayubu_madenge Mbona Kigamboni Kuna kivuko lakini still Kuna daladala kibao zinaenda Kigamboni?
My point sio kila mtu tapanda hizo SGR wapo wakina mimi titaendelea na Mabasi tu.