Ukwel ni kwamba Hauhitaji malengo ya mtu ndio yawe motivation kwako, tengeneza malengo yako ili uongeze nguvu ya kuyafanikisha uliyoyalenga.
For Hustlers📌
Brother listen, hutakiwi kuyapima Mafanikio yako kupitia mafanikio ya mtu mwengine hlf naomba ufaham kitu kimoja kwenye maisha kuwa “Mafanikio hayajawahi kuwa Mafanikio madogo hata siku moja” weka kichwani hyo.
Nguvu uliyoiwekeza kufanikisha maybe ni Kubwa, Akili uliyotumia ni nyingi, Mipango mingi then you must be proud brother for your own Achievements.
Brother read this kwa sauti utanielewa.
Be proud.
Mnazaliwa zaidi ya 3 kwenye familia lakini hakuna wa kumsaidia mwenzie hata akiwa na shida ya 500k,
Familia nyingi za kibongo ndio maana zinachukiana sana.
1. Mohamed Dewj: Kilimo
2. Gulam Dewj: Kilimo (katani)
3. Salim Assas: Kilimo & Ufugaji
4. Raza Hussein: Kilimo
5. Issa Mwarabu: Kilimo
6. Salim Bakheresa: Kilimo &Usindikaji wa Vyakula
Hao ni Top ya Matajiri wakubwa Tanzania na wanajihusisha na kilimo.
Hamna Winga apo.
“Kumtafutia mtu kazi sio kumtumia tangazo la kazi aombe bali ni kumwambia tarehe flani aende kwenye interview au apeleke vyeti Jumatatu aanze kazi”
Sijui nani aliandika hii tweet ila aliandika ukweli.
GnZ tambeni ila kazi kubwa millennials wanaifanya ni kuhifadhi tweets na ku screenshot tu,
Mkija na control number za kukwama ada,bills za chuo na kukosa mishe mtafuraishwa.
Dogo alikua anatembea na mke wa mtu. Jamaa mwenye mke akaseti watu wakamtumia mke wa jamaa kumseti dogo asogee eneo fiche dogo kaenda chapu akijua ni mwanamke kufika wazee wamemkata kata na mapanga wakamtupa wakaacha simu za marehemu. Zimetolewa password wamedakwa wote 🙌
Kama una 10M+ fungua fixed account hasa (Dhahabu fixed saving account) inayoenda 3-20 years kwa benki ya kijani.
Hela yoyote unayoweka unauwezo wa kukopa 80%-90% yake na fixed inatumika kama dhamana.
Mfano hapo nakua na 10mill nakopa 8mill, kiuhasibu hapo tayari nna 18mill.
Na mwanangu amesoma sec mpaka chuo hamjui Baba yake kalelewa na Baba wa kambo,
Kapiga mishe now ana pesa nzuri na kamtafuta Baba yake kampata,
Mwezi ujao anaoa Mama anafosi Baba wa kambo asimamie ndoa dogo anamtaka Baba yake halisi,
Final Baba halisi kakubali hatoshiriki ndoa
Hela unayompa mwanamke wako make sure ni surplus ama excess yaani haufikirii kwamba umempa iongeze upendo au kingine chochote, give her halafu usiweke expectation.
Ile ya kuachana na kuanza kujutia ulivyompa haifai.
By the way kumpa mke ni sheria.
The only person you should ADMIRE
Ni mtu wa kutopenda kubadili wanawake
Ukiingia kwenye kubadili badili wanawake ni shida.
The shit is addictive & you lose interest in building a healthy relationship with one woman
Having options will be the end of me, mmoja akiniacha natafta mwengine wa kujaza hilo pengo, sio kua na kikosi
One kid last year.
Two missed period this year.
Putting into consideration some narratives like.
1. Kitanda hakizai haram
2. Mtoto anakuja na sahani yake.
3. Watoto ni baraka.
Then boom reality thinks in.
Bro you should get money.
Ngachoka kabisa.😁
1000%, wanaume ukiwa na wakati mgumu, emergency
Utapigia mwanaume mwenzako simu kwanza
Ata ukiwa na mke, you'll either call your father/ brother/ best friends/ uncles first, wife ni baadae
MEN TAKE CARE OF MEN
Official sources have confirmed that this is true.
Mwanaume ili ukae kwa utulivu kabisa unahitaji pesa.
Dunia haiko fair kwa mwanaume asie na pesa.
Mavazi pekee ya mwanaume ni gharama hata akiwa mtoto.
Mwanamke wako anahitaji kuhudumiwa, watoto wanataka ulipe ada bado nyumbani kwenu kama sio kuzuri wanahitaji kitu.
Pengine hujasikia popote ila mwanaume unafaa kutokata tamaa, faida ni faida hatakama ni ndogo shida ni matumizi.
Age should matter kwenye kushika pesa, uhalisia ni kwamba 20s mpaka early 30s hazikuruhusu kuwa tajiri unless una backup ya wazee au we ni tapeli.
Hao wenye pesa pia at that age tulikua hatuwafahamu, amini katika process huku ukiona progress zako.
Enyewe kama bado unalizwa na mapenzi wakati bado haujawa vizuri kiuchumi, be blessed with a middle finger bro.
Mwanamke unaemlilia atasomesha watoto? Atalisha familia? Lakini vipi kuhusu pesa unazotafuta leo zitakusaidia mambo mangapi?
Usiache kufanya mapenzi na usiache kuomba msamaha unapokosea but don't over do.
Kamwe usimfanye mwanamke wako awe juu yako.
1. Kama ujasoma, usimsomeshe
2. Usifungue biashara kwa majina yake
3. Epuka kufungua account ya pamoja ya kifedha na mwanamke wako.
4. Kaa mbali na pesa za mwanamke wako
5. Tafadhari mbali na wanawake wenye watoto Kama hauna mtoto/watoto/haujawahi kuwa kwenye ndoa kabla.
6. Usaliti ni suala lisilo sameheka kwa mwanaume mwenye utimam.
#TajiriLakihaya
Jana tulikua tunakumbushana tu ili tuwe Sawa!
Sasa VIJANA Naomba tujadili issue kamili- najua wengi mnaogopa kujadili hii mada Kwa kuogopa matusi na hata usipate support yoyote… Ila lazima tulijadili hili Kwa maslahi mapana ya Sisi vijana na kizazi chetu cha kesho…
Kuzidi kufunguliwa kwa Betting Companies kila uchao na hata hii ya juzi ilioleta kelele humu si hatua ya maendeleo,
ni kengele ya hatari kwa kizazi chetu vijana.
Kamari haitujengei vijana uwezo, haitupi ujuzi, wala haitengenezi thamani kwenye uchumi.
Inauza ndoto ya ushindi wa haraka, lakini ukweli wake ni mzunguko wa hasara, madeni, utegemezi na kuvunjika kwa maisha.
Tunaambiwa ni ‘AJIRA’, lakini ni ajira ya aina gani inayotegemea watu wengi kupoteza pesa zao ili wachache wanufaike?
Huu si uchumi jumuishi,ni mfumo unaonufaisha kampuni huku ukiwaacha vijana wakizama kwenye hasara.
Na ndio maana kampuni za kamari kila siku zinaongezeka lakini vijana BADO tupo kwenye umasikini ule ule Miaka nenda Miaka Rudi💔
Athari zake zipo wazi; Madeni yanayokua kimya kimya,Msongo wa mawazo na hata uraibu wa kamari, Kupotea kwa muda na nguvu ambazo zingetumika kujenga maisha,Kupungua kwa tija kwa vijana waliopaswa kuwa nguvu kazi ya taifa nk.
Serikali haiwezi kusema inajali vijana huku ikiendeleza mazingira yanayowasukuma kwenye utegemezi wa BAHATI badala ya juhudi na ubunifu.
Hii si sera ya maendeleo, ni kuruhusu kizazi kipotee polepole.
Vijana tuamke. Hakuna ‘shortcut’ ya mafanikio kwenye kamari.
Waliopo juu ni wachache wanaotumika kama matangazo,lakini maelfu wako chini wakipoteza.
KAMARI sio ajira, ni mtego unaowalenga vijana moja kwa moja.
Tunauziwa ndoto za ushindi wa haraka, lakini uhalisia ni madeni, utegemezi, msongo wa mawazo na kupoteza kabisa mwelekeo wa maisha.
Serikali haiwezi kwa mkono mmoja kuzungumzia kuwawezesha vijana, halafu kwa mkono mwingine kufungua milango ya kamari inayowapumbaza na kuwavuta kwenye utegemezi wa bahati.
Hii si sera ya maendeleo,ni kulea utegemezi.
Vijana tuamke. Hakuna utajiri wa mkato kwenye kamari!
waliowanufaika ni wachache sana, na wengi wanabaki na hasara, maumivu na muda uliopotea.
Taifa haliwezi kujengwa kwa tiketi za bahati nasibu. Tunahitaji ajira halisi, elimu bora na fursa za uzalishaji,sio kamari.
Tunahitaji uwekezaji kwenye elimu ya vitendo, ujasiriamali, viwanda na teknolojia,not betting.
Taifa haliwezi kujengwa kwa kubeti,linajengwa kwa kuzalisha💯💯
Serikali ifikirie upya,hatuwezi kujenga taifa kwa kuwapa vijana ndoto za mkato zisizo na kesho💯💯
Serikali haipaswi kulea kizazi kwa bahati nasibu badala ya fursa halisi. Vijana tuamke,hii si njia ya mafanikio💯💯