@Wakazi Kwan wanaodai wanairudisha hip hop huwa wanairudisha kutoka wapi?? Hapa huwa sielewi. Maana najua Hip Hop ni Utamaduni ambao upo siku zote,sasa wao kuachana na utamaduni bas haimaanishi utamaduni umepotea
@LucasOdero8 Wasanii wengi wanapoitafuta nafasi na mafanikio huwa wanakuwa na ideas kali sana lakin wakishajipata hawawekezi tena ile nguvu kama mwanzo na hyo ni kawaida ya binadam kuridhika