Naona mmepanic 😀👊🏽
Nyie si mahodari? Leteni tu hizo tozo bana! Sasa mnasema zitaanza kutumika 1 July, 2026 - mnasaidia wadauwa kimataifa wajipange waanze kupokea mizigo Mombasa na kwingine nje ya Tanzania! Kwa sisi wenyeji hatukwepi hiki kikombe, tutaumia tu!
Niliwaambia #TutaelewanaTu - sasa mnashuhudia incompetence ya Samia na genge lake!
#SamiaMustGo
Sheikh amegoma kuambiwa mla Nguruwe 😀😀 ..... mimi ningekutana na Sheikh huyu ningemuuliza maswali haya.
1. Miaka yote 10 aliyokaa CDM kulikuwa na usawa wa mgawanyo wa mali?
2. Yeye anautaka usawa wa mgawanyo wa mali ili iweje ikiwa hana uongozi hata wa tawi huko CDM?
“Sasa nimemaliza kukuonesha kuwa wewe ni mtu wa kupuuzwa huaminiki. Ngoja nianze kukuuliza maswali yangu sasa.” - SC Tundu AM Lissu akijipigia shahidi mwitu la siri.
@sukununu01 Shule Gani hii?. Hata kama ni adhabu hapana,, Tena walimu wenzake wanashangaa tu hapo.. halafu unasema mwanafunzi aipende shule inakuwa ni ngumu
Hiiiiiiiii sio adhabu ila niukatili ambao mtoto kafanyiwa na mwalim wake japo naunga mkono mtoto kupewa athabu ya viboko na mwalim wake ila si kiwango hiki apa ticha kapitiliza adhabu