83โพwahenga Wana kauli yao moja kuwa , ukiona wanaume wametofautiana๐
Basi tambua Kuna namna mwanamke ni sehemu kubwa ya mgogoro , na inajidhihirisha hapa baada ya wimbo huu kutoka Kumbe jayz baada ya kutoa Ile REASONABLE DOUBT , siku chache mbele ndiyo alianzisha Mahusiano ๐
๐ ๐๐๐ก๐ ๐ข๐ ๐ช๐๐ฆ๐ง ๐๐ข๐๐ฆ๐ง๐
๐๐๐๐ - ๐๐๐ ๐๐จ๐๐ ๐๐ ๐ฎ๐ฃ๐๐
1โพ Kama hujawahi kusikia Bifu hili (kitu ambacho naamini wengi hawajawahi),
Ni wazi Kuna kitu kitakuwa kinakosekana namna ya kumzungumzia 2pac, fuatana nami uyajue mengi ๐