@kikomasta US alijua watashambuliwa ndo mana mapema akaamisha vifaa na wanajeshi wake kwenye hizo kambi...kwhyo hapo wanapiga ngome tu lakin hamna dhana Wala wanajeshi
@anuskills3 US na Israel ni wajanja sana wanasema hivo ili mzee ajitokeze kukanusha kama yuko alive na safe then wajue location ya mzee af kifuatacho the really ๐ฅ
@Pastormo6@siadevinci N kwel unachosema jamaa anaonesha dalil za kutotaka kuendelea na vita...swali je n kwel anataka Aman dunian au kazidiwa anatafuta njia ya kutoonesha udhaifu wa kushindwa. Majibu anayo mwenyew Mr. Putin