@MgalulaMztz@CkrissBamanyisa Lazima ujue kiongozi mzuri hapinwi kazin bali baada ya kuondoka kazini.
Angekuwa na nia njema, angeandika katiba kudhibiti haya aliojua yalikuwa yanautafuna nchi, akijua yeye ni mtu lazima afe alipaswa kutuachia taasisi imara na sio matamko na mikwara ambayo baada ya kufa nayo...
@AbroadTanzania Ukianza kulinganisha maeneo, Nairobi inamaeneo machache mazuri, Dar ni mji mkubwa zaidi ya Nai kwa mapana na ina maenei mebgi mazuti kwa majengo zaidi ya nairobi
@GarnetZahor@MNIGAJIASULU@siadevinci Doesn't matter betri yake ilipigwa fuatilia. Hizo kinga zina kinga zake, kinga zake ndizo zilipigwa na Delilah missile two times
@GarnetZahor@MNIGAJIASULU@siadevinci Israel kisha gonna betry ya hiyo mifumo mara mbili Ravrov ajajitetea sijui nini? Russia akiruhusu hiyo mifumo atajiaibusha, anayosababu ya kutofanya hivyo hana kitu
anachomueshimu Israel kiasi cha kutomtetea Mrusi mwezie Asad.
Mifumo ipo lakini haiwezi kitu, Ukraine imefel iwe..
@Pierre88751351@siadevinci Israel iko mbele ya Kiduku kwa kila kitu Idadi ya makombora, bajeti, uchumi, experience na walishamfanyia jambo kiduku anawajua Mosad.
@IsraelYudea@siadevinci Akiwa anatawala 1000yrs hapa duniani. Uturuki ndiye Ottoman Empire. Empare iliyopoteza kwa England 1929.
Hawa wanajipanga kurudi na watarudi katika Power na wataisadia ulaya kuwa kama Arabuni, uislamu utakuwa mwingi ulaya. Ulaya hawata kuwa Rafiki wa Israel tena.
@IsraelYudea@siadevinci Sera yake ya One for all(Samson formula) itaitisha Dunia. Makimbora ya Nuclear kama Jericho 3 yatakuwa yamepata ongezeko.
Dunia itajiunga kwakuwa taifa moja halita weza kupigana nao.
Hiyo vita inaitwa Almagedon not Gog na Magog. Gog na Magog ni mataifa yatapigana na Yesu,
@Mdumavu @siadevinci Halafu hizo empire nyingine haziku dominate dunia!! Kama Soviet,Nimrodi, Kwanza hakuna kitu kama Nimrodi empire hii unejiundia au unekutana na stori tangopori
@Mdumavu @siadevinci Nimekwambia Dunia ilikuwa zaidi ya hivi, we umesema unataka kuona dunia iwe kama hivi!! Katika mataifa yenye nguvu yote yaliyo pita dunia hakuwahi kuwa na eneo kubwa la utulivu na ustaarabu kama wakati wa USA. Lakini hizo zama unazozipenda zinakuja soon!! Ndo nilimasnisha hivo