Wakati wa uchunguzi wa mauaji ya Oktoba 29, Wakuu wa Mikoa na Wilaya katika maeneo yaliyotokea maauji lazima wachunguzwe pia. Kama maafisa wenye dhamana ya usalama katika maeneo yao, hawawezi kujiondoa kwenye mlolongo wa uwajibikaji.
Dunia haitaiheshimu Tanzania kwa maneno makubwa, bali kwa uchumi mkubwa. Sera ya mambo ya nje lazima iwe injini ya biashara, teknolojia, uwekezaji na ajira endelevu kwa Watanzania.
Tanzania ya karne ya 21 haiwezi kuishi kwa kujitazama yenyewe pekee. Sera yetu ya mambo ya nje lazima ifungue masoko, ivutie teknolojia na itengeneze ajira. Heshima ya Taifa inajengwa na nguvu ya uchumi, si ukubwa wa eneno.
Open African borders policy could accelerate economic integration, but without coordinated security systems they could also intensify trafficking, instability and transnational crime.
By 2050, one in four people on Earth will be African. This means the future global labor market, consumer demand and political influence will increasingly depend on African stability and productivity.
@DARTMwendokasi Mwisho, magari kuegeshwa kwenye njia za watembea kwa miguu BRT III (Uhuru BuguruniโKarume), pamoja na vibanda na gereji zinazojengwa, vinaanza kuharibu miundombinu hii. Naomba hali hii idhibitiwe mapema ili kulinda ubora wa barabara zetu. Kazi njema.
@DARTMwendokasi Lingine, uzoefu wa awamu zote za BRT unaonesha kuwa beacon nyingi kwenye sehemu za wavuka kwa miguu zinagongwa mara kwa mara na kufanya barabara zipoteze mwonekano mzuri na kuchakaa mapema. Naomba kuangaliwa njia mbadala au ubunifu zaidi katika BRT IV ili kuepusha hali hiyo.
@DARTMwendokasi Miti inayopandwa katika mradi wa BRT III ni muhimu sana. Naomba kuwe na mfumo mzuri wa kuitunza ili ikue vizuri. Uzoefu wa BRT II unaonesha miti mingi ilikufa kutokana na kukosa ufuatiliaji. Ni vyema manispaa zikahusika kuitunza ili kuboresha mazingira na mwonekano wa jiji.
@ikulumawasliano Si alisema kupunguza gharama?
Hawa watu walimuaga asubuhi, sasa wakampokea tena jioni.
Mengine tujiongeze tu, tuna kazi kubwa ya kujikomboa kiuchumi. Hizi mbwembwe tuachane nazo tunachelewa sana.
As authoritarian leaders in East Africa strengthen their alliances sharing tactics of repression and control, so too must the people of the region unite with purpose and resolve to resist their excesses. If they export oppression, we must export resistance.