@Elsukay0@Eliaskaneke Wewe unafaa kuwa mume wa mtu kwa yale uloyoyafanya sirini?
Kama ametubu maana yake ameflash kila mitu amekuwa mpya, uzuri Mungu kanuni zake sio kama zetu, original copy zimechomwa wanadamu huwa tunakomaa na photocopy tu.
Mungu hufanya restoration.
Sasa waja mnaishi na past.
@GilbertPaul095 Inawezekana kabisa wala sio ajabu, inategemea tu hiyo circle yako umeichorea wapi, kuna upande ukigeuzia dishi utaangalia chenga miaka yote, hakuna frequency. π€£π€£
Shida sio wa kuolewa shida ni hiyo circle.
@255JrLiko@shibobo___ Ile position Mwenda alidelay baada ya Baka kuruka, wote walijua Baka ana clear ule mpira so wakapunguza mwendo ghafla wanaona mpira umevuka na striker yuko kwenye move, any attemp pale ilikuwa ni kujifunga tu kwa kasi ya mpira na eneo walilokuwa katikati ya goli.
@Sulphuric_aci17@shibobo___ Ule mpira umepigwa cross, beki wa kwanza kulia alikuwa Baka, mzee ule mpira una kasi, kwa reflexes za mwili ukirelax sekunde moja tu mpira ushafika na huwezi ukajiongeza mara mbili kuwahi tukio, pale alipokuwa Mwenda au Nondo ungewapa lawama ya kujifunga tu. Siwalaumu kabisa.