@PatrickJAssenga Broo hajaingia nazo kwa ajili ya kutumia,kuna hoja alikuwa akiijenga,mm binafsi nilimwelewa,na aliwawakilisha vyema watengenezaji wa pombe za kienyeji..
@JiniKinyonga Sasa hayo ni maandamano au maigizo kaka? Jiimarisheni kwanza kama Chama,msipoteze mda kujifananisha na Chama ambacho kimewapita kwa uungwaji mkono,nadhani leo mmeuona uhalisia kwa Kile tulichokuwa tukiwaeleza siku zote,na mkajifanya wajuaji
@Ndolezi_Petro Sasa Ndolezi hayo ni maandamano au maigizo? Hv maandamano ya watu 10 kweli,nilishakwambia awali nyie hamuwezi bado ni wachanga Sana kwenye siasa,mnaforce vitu ambavyo bado hampo kwenye hiyo level