@Sativa255 Nimebahatika kutembea Nchi Nzima hii Nawafahamu WATU wake na Tamaduni zao Kwa Mbeya hii statement ya KUCHORA MSTARI na UTEKAJI. Wenye Mamlaka Kaeninao Chini Nguvu ya Vita ya Kagera Iliyo tumika huenda Mkaitumia hapo Mbeya .
Viongozi wengi walioko kwenye nafasi za maamuzi wana 60+ wachache wana 50+
Kwa mujibu wa #lifespan, wengi hawa miaka 30 ijayo hawatakuwepo duniani hapa.
Miaka 30 ni kesho kati tu hapo sio mbali!!
Na kama watakuwepo hai basi watakuwa kwenye ile stage ya #Oldest_old
Stage ambayo ukifika kitu pekee chenye thamani duniani ni afya na uhai wako tu, sio majumba wala ardhiโฆ.. na hata pesa haiwezi kukurudisha kwenye #MiddleAge
Miaka 10 tu ijayo wengi watakuwa kwenye stage ambayo afya haitakuwa stable, maradhi ya uzeeni yatawa-limit kwenye vingi vinavyompa mwanadamu furaha.
Yataanza maisha ya kula mchicha wa kuchemsha tu kila siku.
No sugar, No mafuta, No salt kwenye kila chakula chao.
Uwezo wa kufanya Sex utapotea (baadhi)
Sites wanazojenga na mashamba yao watakosa nguvu ya kwenda kuzitembelea mara kwa mara.
Gari zao hawataweza kuendesha tena, hata ghorofa walizojenga zitawachosha kupandisha ngazi watatamani kulala chini tu!
Watakuwa wapweke wakitamani watu waende kuwatembelea, hii itawanyima furaha zaidi!!
Hii ndio stage watakayokuwa wanatamani kuwa karibu na kanisa/msikiti/padre/mchungaji/Sheikh/MUNGU
Na hapa ndio kumbukumbu za uchafu wote walioufanya zitaanza kuwarejea.
Jeuri na viburi vya madaraka ulivyonavyo sasaโฆ..muda mfupi tu ujao vitakutesa mno.
Mbaya zaidi vitakutesa ukiwa peke yako bila huyo aliyekutuma uwe jeuri kuwepo nawe wakati huo.
Muda bado unao hujachelewa sana, badilika sasa!!
Hauna muda mrefu wa kuishi duniani hapa, wala hautakuwa na muda wa kufaidi mali unazochuma na kuibia watu sasa!!
Na kama unaamini unafanya hayo uifurahishe tu familia na watoto wako!!
Amini kwamba ukishaondoka duniani hapa watakusahau pale tu wakishakufukia.
Focus kwenye kujenga future bora ya vizazi vijavyo wajukuu na vitukuu kwenye taifa lako!!
#Mkato2025
#IjumaaKuu๐คฒ
@MalemboLE Asilimia kubwa ya Aridhi ya MANYARA Ina Madini Mengi ya Phosphate (Mbolea) Kiwanda Cha MINJINGU Kiko pale Kiwanda Cha INTRACOM FERTILIZERS Ambacho pia kipo Burudi Malighafi zote za kutengeneza Mbolea Zinatokea MANYARA