Kesho kuna kumbukizi za Magufuli huko CHATO
Mwigulu anakwenda uko,
Baada ya kukosa makofi na vigeregere sio ya Msiba wa Pengo baada akasema yeye wala hajamuuma sana, na baadaye akampelekea moto mwandishi wa habari aliyesema imemTACHI
Mwigulu leo yuko Busy kukodisha vijana na magari kwa ajili kwenda CHATO kumshangilia na kumpa vigeregere kama alivyofanyiwa Nchimbi,
Kuna mabilioni yanatumika, ya wananchi kutengeneza hili tukio
Kumbukeni huyo na Bashite ndio wapendwa wa Bi Msumi, anaamini yuko salama mikononi mwa hawa mabedui wawili
Vijana mnaponunulika namna hii hakuna ukombozi utapatikana kutokana na kuuza nafsi zenu, Mnatumika kwa mambo ya ovyo, kumbukeani hawa CCM wameua watu hasa kwa kujaza watu na malori kwenye viwanja baadaye wanasema wanapendwa wanaua watu
Kuweni makini sana
@godbless_lema Lema ww nilikuonya hadharani kipindi kule ulipotoa kauli ya kwamba
"Baada ya Magufuli kufariki ulimpigia kikwete akuombee kwa mama ili urejee nchini then ukashangilia kufutiwa kesi zako mahakamani "
Nikakuuliza kwamba unafrahia kufutiwa kesi na Rais mamlaka kayatoa wapi?
Umoja wa Mataifa - Baraza Kuu la Haki za Binadamu imekabidhiwa ripoti ya Utekaji duniani na kwa mara ya kwanza katika historia Tanzania tumetajwa kwenye orodha ya Nchi zinazoteka, kupoteza na kuua watu, kuumiza wanasiasa wa upinzani.
Hii ni kutokana na matendo ya utekaji, mauaji na kuumiza watu wa upinzani kwa kesi za uongo na mengine mengi.
Hatua inayofuata watu watakwenda The Hague.
Wafugaji wanapigwa risasi na kuporwa mifugo Yao Leo ccm ktk kampeni zao kimyaa hawasemi jambo lolote juu ya wafugaji ktk nchi halafu nitashangaa Kuona wafugaji wanatetea ccm.
@MariaSTsehai@WGEID@UN_SPExperts@UN_HRC Watanzania amkeni tushikamane kutokomeza mambo haya coz hakuna mtu aliye salama ktk nchi yetu amkeni tupinge mambo haya silaha iliyo Baki ni umoja wetu dhidi ya majambazi na mahuni ktk nchi.
@MariaSTsehai Kitu pekee ambacho kitatusaidia kupata heshima yetu ni umoja wetu
Hawa matapeli na walangunzi wa mali za nchi yetu tunakiwa kuwapiga kuanzia juu mpaka chini
Kaskazin mpaka kusuni mashariki mpaka magharibi ndani na nje soon wataelewa Nini maana ya nguvu Moja na umoja๐ช๐ช
Taarifa zimefika hadi nje, wazungu wamepigwa na butwaa!
Hakuna kitu kibaya kama โto be taken for a rideโ yaani inatia hasira sana! Eniwei uzuri safari hii tuna mwamba wa kweli tena jabali anaitwa Tundu Lissu ๐ฅ
Na watanzania tumeshaelewa #NoReformsNoElection tunataka mwongozo tu tutekeleze vizuri ๐๐ฝ
@MariaSTsehai Ni hivi niliwaambia kipindi kile Cha DPW bandari kuuzwa kwamba mwamba alikuwa anajua kila kitu. Ndo maana alijifanya kwenda kufanyia kikao Chao kule ulaya lengo kuzuga watanzania ili waamini kwamba hajui but yule ni kibaraka wa chama na Serikali Leo mmeshuhudia hafai๐ญ๐ญ๐ญ
@MariaSTsehai Kiukweli nimeumia sana Leo juu ya mambo haya yaliyotokea kwa wakristo wenzangu na watanzania wenzangu nimewaza sana
Tumefikaje hapa
Je. Hawa ni police wa Tanzania kweli au ndo wale raia wa kigeni waliojopenyeza kwenye jeshi letu kwa mujibu wa ripoti ya CDF maana sio kawaida
Mtu anamaombi wewe una mabomu unampiga kama gaidi.
Tangu machifu, waganga wa jadi na wachawi walipomuweka Rais kuwa chifu Mkuu wakristo wanapitia wakati mugumu sana.
#TUTAKUWEPO cc @Sativa255
Hapa nikiwa nawatuliza waumini wasifanye fujo watawanyike kwa amani kosa walilofanya polisi ni kuja kunikamata ndipo vurugu ikatokea kati ya Polisi dhidi ya waumini wa Ufufuo na Uzima.
#Tutasali