That at the end of the day, may Jesus say
'weldone'
Oh FAITHFUL Servant✝️💕
You have been faithful with the few and so I will put you in charge of many, Mathew 25:23
Mapema leo nilipata heshima ya kuungana na @elimikawikiendi Elimikaspace na Anti corruption voices @anticorruptionvoicesfoundation kama mwakilishi kutoka Plan international @plan_tanzania GTO 2024 highlig kuangazia wajibu wa Vijana dhidi ya rushwa ya Ngono
"Kupitia mradi huu tumeona wanawake na wasichana wanaoshika nafasi za juu kwenye Uongozi kama Dada Lydia Charles mkurugenzi wa @herinitiative, Dada Brenda Msangi wa CCBRT na wengine wengi"
#ElimikaSpaces#ElimikaWikiendi
Mnufaika wa Girls Take over ya @Plan_tanzania, Dada @Dayana___tz
Girls Take Over ni mradi wa unaowanufaisha vijana katika kushika nafasi mbalimbali za uongozi bila kuhofia changamoto ya Rushwa ya Ngono.
#ElimikaSpaces#ElimikaWikiendi
Mapema Leo nimeshiriki na @ElimikaWikiendi spaces, na @ACVTanzania kama muwakilishi wa @Plan_tanzania Girl's Take Over program 2024, na kugusia jinsi Girls Take Over program inavyosaidia mabinti kuwa na mawazo chanya kuziendea nafasi za Uongozi bila hofu ya Rushwa ya Ngono.
I'm excited to announce, that my team and I won the prize for the "best social impacting project" from @Plan_tanzania as part of the GTO program. This, does not only bring light of hope to us, also as the initiative to more projects that positively impacts change in the society
Naungana na dada @Imaniluvanga na zaidi nashukuru kwa kusaidia kufikisha kumbe zetu vizuri.
"Uongozi wa kweli si katika vyeo, Bali ni katika kugusa maisha ya watu ili kuleta mabadiliko chanya katika nchi yetu"
Bado tunamsherehekea mtoto wa kike.
Nilifurahi kuunga mkono initiative ya #GirlsTakeOver ya @Plan_tanzania kwa kumpa Msichana Latifa, nafasi ya kufungua video ya story yangu kuhusu Siku ya mtoto wa kike Duniani kama mwandishi wa habari ajae.
#DearGirlChild#ItCanbeDone
Katika maadhimisho siku ya kimataifa ya mtoto wa kike duniani, iliyoadhimishwa na @PlanTanzania tarehe 10/10/2024 nilipata nafasi ya kuzungumzia ndoto yangu kubwa. Naamini watoto wa kike kuweza kukombolewa kutoka kwenye maswala ya kimila na kijamii, wanahitaji ukombozi kiuchumi
"Kusema ukweli kwa upande wangu, Ndoto yangu kubwa ni kuwapa elimu watoto kwenye masuala muhimu ya kifedha hasa jinsi ya kujitegemea kiuchumi, pia umuhimu wa kuweka akiba. Hii utawasaidia wa kike kuwa na muelekezo mzuri katika Maisha." ~| Diana Mkinga
#IDG2024#GirlstakeOver
Hello #Tanzania students!
🔸Are you aged 21 - 26?🙋🏾
🔸Got awesome English + Swahili writing skills?✍🏾
🔸Mad social media skills?💡
...Then DM us your email for a chance to intern at the World Bank Tanzania office!🚀
⏰DM deadline: Tuesday, March 26, 2024!