@YUNA_Tanzania Eliasa Abdallah Hussein- Executive Secretary Ant corruption voices foundation am happy and grateful to join the impression and impactful session
📍 Morogoro
#SepeshaRushwa Marathon inakuja ni jumamosi hii 02.11.2024 kutakuwa mbio na matembezi, kupanda miti, Elimu ya maadili na Rushwa ya Ngono
Itafanyika Stendi ya zamani saa 11:00 - 3:00 Asubuhi.
HAKUNA KIINGILIO. Karibuni sana
Swali kwenda kwa Afisa mawasiliano wa @herinitiative kaka @nahdy_tariq
"Nini nafasi nafasi ya majukwaa ya Kidijitali kama #ElimikaWikiendi, Panda Initiative katika kufanya uchechemu wa kupambana na Rushwa ya Ngono?"
#ElimikaSpaces
"Ni muhimu kuwa na hoja za pamoja katika kupambana na Rushwa ya Ngono ambazo zitatujengea uelewa mpana pia tunapaswa kuendelea kuelimisha jamii ili waathirika wapate msaada wa kisheria"
#ElimikaSpaces#ElimikaWikiendi
Tunawashukuru kwa kutenga muda wenu kujumuika nasi katika jukwaa la elimu la #ElimikaWikiendi
Kipekee tunawapongeza @ACVTanzania kwa kuleta mjadala mzuri kwenye jukwaa letu.
Tunawatakia mapumziko mema tukutane jumamosi ijayo.
Mapema Leo nimeshiriki na @ElimikaWikiendi spaces, na @ACVTanzania kama muwakilishi wa @Plan_tanzania Girl's Take Over program 2024, na kugusia jinsi Girls Take Over program inavyosaidia mabinti kuwa na mawazo chanya kuziendea nafasi za Uongozi bila hofu ya Rushwa ya Ngono.
"Jitihada za Kupambana na Rushwa ya Ngono zimekuwa zikifanywa na Serikali, Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa sasa kuna matokeo chanya ila tunahitaji kuongeza nguvu zaidi katika mapambano haya" - @hellen_sisya#ElimikaSpaces#ElimikaWikiendi
Mnufaika wa Girls Take over ya @Plan_tanzania, Dada @Dayana___tz
Girls Take Over ni mradi wa unaowanufaisha vijana katika kushika nafasi mbalimbali za uongozi bila kuhofia changamoto ya Rushwa ya Ngono.
#ElimikaSpaces#ElimikaWikiendi
"Sera na sheria za Rushwa ya Ngono si tatizo ya kushughulikia kadhia hii ila changamoto ni kutokuwa na uelewa wa kutosha na woga kwa wahanga" - @nahdy_tariq#ElimikaSpaces#ElimikaWikiendi
Afisa mawasiliano na mchechemi wa kidigitali @nahdy_tariq kutoka @herinitive anachangia mjadala wa Rushwa ya Ngono.
"Taasisi yetu ya Her Initiative inafanya kazi kubwa katika eneo katika mapambano na uchechemuzi wa Rushwa ya Ngono"
#ElimikaSpaces#ElimikaWikiendi
Wasichana wengi wanapitia changamoto ya Rushwa ya Ngono kwa kushindwa
1. Kupata taarifa sahihi kupeleka tatizo hili.
2. Kutokuzifahamu taratibu za kuhudumiwa na TAKUKURU
#ElimikaSpaces#ElimikaWikiendi
"Rushwa ya Ngono hutokea pia kwa matumizi mabaya ya ofisi kwa kutumia kigezo cha mamlaka na kutaka kunufaika katika hali hii."
#ElimikaSpaces#ElimikaWikiendi