#udsm alumnus class of 2023
#ceoacudsm's former Treasurer
#Fomer DARUSO USRC 2022/23
#ceoacudsm ambassador 2022/23
#Pan African and anticorruption activist
Corruption typically involves the exchange of something of value, given or received, with the intention of swaying someone's decisions. This can occur in the political, economic, or social spheres.
#zerocorruption#kuzuiarushwanijukumulangunalako
@Twaha_Mwaipaya na kuanzishwa Taasisi ya Kuzuia Rushwa (TAKURU) wakati huu mkapa alikuwa bado hajaingia madarakani. Mwaka 2007 sheria iliyoanzisha TAKURU ilifutwa na kisha bunge lilitunga PCCA Act 11 / 2007 ambayo ilianzisha @TakukuruTz kupitia artcl5 hapa pia Mkapa alikuwa ameshatoka Madarakani
@Twaha_Mwaipaya Mkapa hakuanzisha TAKUKURU, ilianzishwa mwaka 2007 kupitia sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa namba 11 /2007. Awali mapambano dhidi ya rushwa yaliendeshwa na kikosi kilichojulikana kama anticorruption Squad ambacho kilianzishwa mwaka 1974. Mwaka 1991 sheria ilirekebishwa
Ya Allah Please remove the spirit of laziness when it comes to my ibadah, praying, hustling & chasing my dreams.
Push me to my fullest potential. π€²π½
Fiston Mayele has performed Umrah in Saudi Arabia after embracing Islam. π
He has also taken on a new name; Mahmoud Mayele. β¨
#AfricanFootball β’ #Mayele β’ #Umrah
namba 16 ilifutwa na bunge na kutunga sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa namba 11 ya mwaka 2007. Sheria hii katika kifungu chake cha 4 inaanzisha TAKUKURU kama chombo huru chenye mamlaka ya kuzuia na kupambana na rushwa. Mtiririko wote huu si wakati wa Mheshimiwa Mkapa.
TAKUKURU haikuanzishwa na Raisi Mkapa. Kabla ya TAKUKURU mwaka 1974 ilianzishwa kukosi cha wapinga rushwa (anticorruption squad) kikiwa chini ya jeshi la polisi, mwaka 1991 akabadilishwa kuwa TAKURU chini ya sheria ya kuzuia rushwa namba 16 (Enzi ya mwinyi) mwaka 2007 sheria
Leo nasimama katika ardhi hii ya Mwalimu Nyerere aliyehubiri kuhusu umoja. Nimekuja nikiwa nimebeba ujumbe wake wake wa umoja lakini kwa dhamira mpya, UMOJA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA.
Rushwa huharibu maisha ya jamii zetu.
aliyeshinda tenda ya ujenzi kwasababu ya uhusiano na afisa mieadi na si kwa sababu ya ubora wake.
Kijana wa mzee mcheshi anaamini njia pekee ya mafanikio ni kupora pesa ya umma.
Jamii imepoteza msingi wake wa maadili
Mola atupe nguvu na dhamira ya dhati katika kudhibiti rushwa
I had the opportunity to provide mental health awareness and why we humans differ in our actions, behavior , feeling and decisions at the Dodoma Region Youth Survivors Camp. I commend the community for continuing to give Mental Health a place as something important to our life.
At the center of leadership, we are demanded to be strong, but not rude; be kind, but not weak; be bold, but not a bully; be thoughtful, but not lazy; be humble, but not timid; be proud, but not arrogant.