@George_Ambangil@FabrizioRomano@rayasel94@mzee_mbuzi Hakuna Cha quality Wala quantity kuna block moja alifanya maquihno baada ya Kai shuti ule mpira ndio asernal walitakiwa kucheza ila kocha akawaambia wa park bus mpaka penati imetokea kwa kucheza pira haramu muda wote @George_Ambangil
@AmOmega21@bonifacejoseph_ Beki wa kawaida sana hajafikia hata Gabriel or Saliba kwenye game ya Jana alikuwa na makosa mengi sema tu arsenal nao walishindwa kutumia
@ayubu_madenge Kwa timu ya kutegemea mpira ya wa kurusha na kupaki bus barcola ndio aliwachelewesha mpaka mkapata nafasi ya kufika kwenye mapenati na Bado mlishindwa