DED Ngorongoro, Bw. Sadiq Mbillu, ameonesha mfano wa uongozi wa karibu kwa kumhudumia mmoja wa wakazi maarufu wa Kijiji cha Loosoito, Kata ya Maaloni, wakati wa ziara ya ukaguzi wa visima 35 vya maji vilivyochimbwa na mdau wa maendeleo UAE WATER AID kwa usimamizi wa RUWASA
. Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 7, ambayo ilikuwa moja ya changamoto kubwa kwa wanafunzi na wakazi wa eneo hilo, imeanza kutengenezwa kama alivyoahidi Kanali Sakulo.
MAREKEBISHO YA BARABARA YA ENDULEN-EMBARWAY SEKONDARI YAMEANZA
Maelekezo ya Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Kanali Wilson Sakulo, aliyoyatoa tarehe 13 Oktoba 2024, yameanza kutekelezwa kwa kasi baada ya ujenzi wa barabara ya Endulen kuelekea Shule ya Sekondari Embarway kuanza rasm
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Ngorongoro Bw.Murtallah S.Mbillu (wa pili kulia)amekuwa ni miongoni mwa Wajumbe waliohudhuria uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mkoa wa Arusha kwa mwaka unaoisha 2024/2025 na bajeti mpya kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
. Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 7, ambayo ilikuwa moja ya changamoto kubwa kwa wanafunzi na wakazi wa eneo hilo, imeanza kutengenezwa kama alivyoahidi Kanali Sakulo.
Zoezi la kuhakiki taarifa katika daftari la orodha ya wapiga kura linaendelea Kijiji cha Sukenya Kata ya Oloipiri
Kwa mujibu wa Ratiba ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, zoezi la uhakiki ni tarehe 21 - 27 Oktoba, 2024
Hakikisha umejiandikisha katika daftari la Mpiga kura kuanzia Tarehe 11 hadi 20 Octoba 2024 ili kukuwezesha kuchagua kiongozii unaemtaka tarehe 27 Novemba 2024
#UJANJA NI #KUJIANDIKISHA, #TWENDE#TUKAJIANDILISHE
#SWALI:Tuambie Eneo hili la Barabara linapatikana Kata Gani Wilaya ya Ngorongoro??
#JIBU :Kata ya Pinyinyi KITONGOJI Cha Ndinyika. Eneo maarufu Kwa jina KAHUSA NDIKEL' au NALUTAKI IMUNYI,#TARURA#NGORONGORO imekamilisha ujenzi wa Tabaka la Zege lenye urefu wa Mita 240
Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro -Kanali Wilson Sakulo leo tarehe 22 Septemba 2024 ametembelea Eneo la Ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Kata ya #Maaloni ulionza ambapo serikali ilitoa Tsh milioni 580 kupitia mradi wa SEQUP na kuridhishwa na hatua za awali za Ujenzi
PICHA
Zoezi la Kusafisha Eneo la Ujenzi wa Daraja la Mto Pololeti eneo la Karibia na Shule ya Sekondari Soitsambu linalosimamiwa na TARURA Wilaya ya Ngorongoro limeanza leo tarehe 19 Septemba 24.Ikumbukwe kuwa mto huu umekuwa adha kubwa kwa wanachi kuvuka hasa kipindi cha mvua