@typonsymbol @BaloziMbeya @GayoMwakisole @KiddSteel @Mwamasenjele_ @kuuwamkoa @PresenterNoah@Kilastborn@Lizzymic5050@DeMahair Nikiangalia kwa urahisi bajeti yake hapo 0 tz shilling. Parachihi niliokota kwa mzee asungulile, ndizi bibi nyoso alinipa, maziwa kwa babu yapo. Hahahaha maisha ya tukuyu raha sana
FAIDA kubwa la hili zoezi ni kupunguza tumbo la chini na la pembeni, Cha kuzingatia unatakiwa ulifanye kwa dakika 45 hadi 60 kwa siku 4-6 ndani ya wiki ili upate matokeo makubwa zaidi.
Please kindly rts widely 💪
Kuna wale marafiki huwaga na maisha ya kawaida sana ila hawajahi kutuacha wenyewe kwenye matatizo au changamoto tunazo pitia,
Tuwaheshimu sana hawa watu.....✍️
“Alhamdulillah tumefungwa na aliyebora usiku wa leo, tumecheza hovyo na tumefanya makosa mengi yaliyostahili adhabu hii, lige goes on na still tunazo dakika tisini nyingine za kuamua” ——— Hajis Manara. #MillardAyoSPORTS