Kitu cha kwanza ukifika kwenye Hotel room, Public restroom, Airbnb
Angalia kama kuna Hidden cameras, vinakuwa vi-camera vidogo vimefungwa kwenye chumba.
Camera ndogo hufungwa sehemu zenye vitu kama saa, smoke detector, taa, kioo, sehemu ya kucharge, urembo ukutani.
Thread 👇
@Hutch10Chelsea @SidChels@CFCBlues_com Sure mate what you wrote its true?? Nah, to my side he needs to be on the bench, he has cost us in many situations and he keeps get unnecessary cards
IMEBAK SIKU MOJA MSANII MPYA WA WCB KUTANGAZWA
Hizi hapa baadhi ya nyimbo za D Voice ambae "Inadaiwa" ndiye atakaetambumishwa 16,November 2023 ambazo aliwai kufanya na baadae akaamua kukaa kimya mwaka mzima bila kupost chochote kwenye account yake ya Instagram akijiandaa kutambulishwa WCB.
Watu wote wa WCB naona wana mfollow jamaa kwa speed sana 😀
1. Madanga ya mke wangu RMX
Hapa binafsi ndipo nilipomjua kwenyw ngona hui akiwa ameshilikishwa na Meha kunta niligundua kuwa dogo ni mkali sana na amemfunika hadi mwenye wimbo wake na huenda hii ni video bora zaidi ya Singeli.
2. Kuachana Shingapi
Hii ngoma ilipotoka ilienda mjini na kusababisha Barnaba,Lody Music na Platform kuomba collabo ya dogo na hatimae ikatoka RMX yake ambayo nayo ilienda ikinogeshwa na video yake.
3.Simuachi
Hio ngoma ni miongoni mwa nyimbo zilizompa mashabiki D Voice kwani ilienda mjini na speaker za mtaani zililia sana hadi leo ni miongoni mwana ngoma zake bora kabisa.
4. Umekopwa
Hii alishirikiana na Mabantu wakaja na kitu poa kilichopendwa na wengi kumsogeza D Voice kwenye soko huria la singeli huku mashabiki wakipata hamu ya kuendele kuhitaji huduma yake.
5. Dear EX
Hii ilienda sana ni kati ya ngoma zake pendwa sana na inapigwa hadi leo ukiwa kwenye tamasha au vigoma vya uswahilini watu wanamsha nayo mwanzo mwisho.
6. Mchanganyo
Hii alifanya na mtu mbaya Baddest 47 na ililia kwa kiasi chake mtaani
Kama kuna ngoma nyengine kali ongezea
@usedpointTz