Noah alilewa.
Yona alikimbia.
Mose alikuwa kigugumizi.
Abrahamu alikuwa mzee.
Lazaro alikuwa amekufa.
Petro alikuwa na hasira.
Daudi alifanya uzinzi.
Zakayo alikuwa mfupi.
Martha alikuwa na wasiwasi.
Paulo alikuwa muuaji.
Yakobo alikuwa mdanganyifu.
Sara alikuwa hana subira.
Eliya alikuwa na huzuni.
Thomas alikuwa mwenye mashaka.
Mungu hawaiti waliokamilika;
Anawakamilisha wale aliowaita.🙏🏿
Chief Odemba: Padri Charles Kitima ni mshauri wenu au si mshauri wenu?
Wakili Dickson Matata: Padri Kitima hajawahi kuwa mwanachama wa Chadema. Unakuwaje mshauri wa Chama kama hujihusishi na hicho chama?. Si mwanachama. Mfano, tusema ameamua kutokuwa mwanachama lakini ni mshauri, mimi ni mjumbe wa Kamati Kuu, sijawahi kumwona Father Kitima akija na kutushauri.
Ni rahisi sana kuwaweka CHAWA straight bila fujo yoyote. Hii ni kwa Gen Z na watu wengine wote.
Hatupigi kelele, hatutukani , tunapiga BAN.
1️⃣ Wakisema kuna show → USIENDE kabisa. FULL BAN
2️⃣ Kampuni inayofadhili hiyo show~BAN bidhaa zao zote
3️⃣ Ukumbi uliotumika , USIWEKE MIGUU~BAN
4️⃣ Makampuni yanayowasponsor kupitia radio, TV, mabango~BAN huduma zao
5️⃣ Pages zao kwenye social media~UNFOLLOW WOTE NOW. BAN
6️⃣ Streams zao (YouTube, Spotify, Boomplay, Apple Music) → DON’T PLAY. BAN
7️⃣ Ringback / caller tunes → ONDOA. BAN
8️⃣ Events wanazohudhuria kama guests → IGNORE kabisa. BAN
9️⃣ Brands zinazowachukua kama ambassadors → BAN hiyo brand
🔟 Media interviews zao → USITAZAME, USISKILIZE. BAN
1️⃣1️⃣ Merchandise zao → USINUNUE. BAN
1️⃣2️⃣ Hashtags zao → USITUMIE, USITRENDSHE. BAN
1️⃣3️⃣ Fan pages zinazowapromote → MUTE / BLOCK. BAN
1️⃣4️⃣ Clubs & lounges zinazowaplay → USIENDE. BAN
1️⃣5️⃣ Award shows wanazoteuliwa → USIPIGE KURA. BAN
🧠 Kanuni ya Gen Z na wananchi wote, Hakuna fujo. Hakuna matusi.
Attention = currency.
Ukikata support → nguvu inaisha.
👉 No support. Full BAN.
#GenZ #WatuWote #BAN #NoSupportNoShow