I am Eng. Decoull Servant Of The Gentle | Web & App Developer | Author | YouTuber | Crypto Enthusiast | Community & Content Moderator | Founder of Make Dollary
27 JULY SIKU FURAHA ILIYOGEUKA KUWA YA HUZUNI KATIKA MAISHA YANGU.
Siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita nilizaliwa, ilikua siku nzuri kwa wazazi hasa mom coz nilifanania siku yake ya kuzaliwa
Iliendelea kuwa siku nzuri kila mwaka. Kutokana na kufurahia siku hii na mama angu.
@Baba_Mtakatifu@zed_ogtz Hii Ilikua inanifanya ninapootoa pesa kumpa mwanamke.. nikimaliza tu namtumia na marehemu mama hata kama hajaniomba.. nafsi yangu ilikua inanisuta tu.
@Nurjan_seyd Ukiona mtu anasema Buza ni uswazi, huyo wakuja Dar na hajatembea kujua sehemu za uswazi...
Nenda Kilakala, Dovya, Kiwalani, Vingunguti, Kigogo, Manzese, Mburahati, Mabibo etc.
@tumaini9608@AnthonChaz Sijui una nini kichwani, wewe uliesema tender ya 4M sio Tender. Nani alietaka mabishano?
Ata ikiwa tender ya 500k, ni Tender watu wameshindana, mmoja ameshinda.
Ili ionekane ni tender we unataka iwe ya TZS ngapi?
@ElirehemaElisha@AnthonChaz Hili ndio jambo la msingi... Mtu unakurupuka na bei juu, kama tender unaomba peke ako alafu unataka ushinde... Au unajaza tuu bila kujua criteria zinahitaji nini.. lazima utapigwa chini ata kama bei yako ni chini.
Mfumo uko fair, na kama unaona hujafanyia fair report PPRA.
#TajiriLakihaya
Jana tulikua tunakumbushana tu ili tuwe Sawa!
Sasa VIJANA Naomba tujadili issue kamili- najua wengi mnaogopa kujadili hii mada Kwa kuogopa matusi na hata usipate support yoyote… Ila lazima tulijadili hili Kwa maslahi mapana ya Sisi vijana na kizazi chetu cha kesho…
Kuzidi kufunguliwa kwa Betting Companies kila uchao na hata hii ya juzi ilioleta kelele humu si hatua ya maendeleo,
ni kengele ya hatari kwa kizazi chetu vijana.
Kamari haitujengei vijana uwezo, haitupi ujuzi, wala haitengenezi thamani kwenye uchumi.
Inauza ndoto ya ushindi wa haraka, lakini ukweli wake ni mzunguko wa hasara, madeni, utegemezi na kuvunjika kwa maisha.
Tunaambiwa ni ‘AJIRA’, lakini ni ajira ya aina gani inayotegemea watu wengi kupoteza pesa zao ili wachache wanufaike?
Huu si uchumi jumuishi,ni mfumo unaonufaisha kampuni huku ukiwaacha vijana wakizama kwenye hasara.
Na ndio maana kampuni za kamari kila siku zinaongezeka lakini vijana BADO tupo kwenye umasikini ule ule Miaka nenda Miaka Rudi💔
Athari zake zipo wazi; Madeni yanayokua kimya kimya,Msongo wa mawazo na hata uraibu wa kamari, Kupotea kwa muda na nguvu ambazo zingetumika kujenga maisha,Kupungua kwa tija kwa vijana waliopaswa kuwa nguvu kazi ya taifa nk.
Serikali haiwezi kusema inajali vijana huku ikiendeleza mazingira yanayowasukuma kwenye utegemezi wa BAHATI badala ya juhudi na ubunifu.
Hii si sera ya maendeleo, ni kuruhusu kizazi kipotee polepole.
Vijana tuamke. Hakuna ‘shortcut’ ya mafanikio kwenye kamari.
Waliopo juu ni wachache wanaotumika kama matangazo,lakini maelfu wako chini wakipoteza.
KAMARI sio ajira, ni mtego unaowalenga vijana moja kwa moja.
Tunauziwa ndoto za ushindi wa haraka, lakini uhalisia ni madeni, utegemezi, msongo wa mawazo na kupoteza kabisa mwelekeo wa maisha.
Serikali haiwezi kwa mkono mmoja kuzungumzia kuwawezesha vijana, halafu kwa mkono mwingine kufungua milango ya kamari inayowapumbaza na kuwavuta kwenye utegemezi wa bahati.
Hii si sera ya maendeleo,ni kulea utegemezi.
Vijana tuamke. Hakuna utajiri wa mkato kwenye kamari!
waliowanufaika ni wachache sana, na wengi wanabaki na hasara, maumivu na muda uliopotea.
Taifa haliwezi kujengwa kwa tiketi za bahati nasibu. Tunahitaji ajira halisi, elimu bora na fursa za uzalishaji,sio kamari.
Tunahitaji uwekezaji kwenye elimu ya vitendo, ujasiriamali, viwanda na teknolojia,not betting.
Taifa haliwezi kujengwa kwa kubeti,linajengwa kwa kuzalisha💯💯
Serikali ifikirie upya,hatuwezi kujenga taifa kwa kuwapa vijana ndoto za mkato zisizo na kesho💯💯
Serikali haipaswi kulea kizazi kwa bahati nasibu badala ya fursa halisi. Vijana tuamke,hii si njia ya mafanikio💯💯
@gabyconscious Kaka matumizi, mimi huwa nabadili simu kwa sababu ya OS version inapokua haiendani na App zangu, kuhusu storage 64Gb sijwahi ijaza maana kitu pekee ni docs na picha baadhi, sikai na videos kwa simu.
@Kachero_jr Mie sasa nimeitwa. Mgeni: "Eeh anavaa na miwani, ana akili sana shule, unasoma wapi?" hapo mie ndio nikipata chance ya kutoka nje sionekani tena hadi wageni waondoke 🤣 watu tunaumwa analeta habari za akili
@MouSaliim Changamoto ya kwanza imenikuta this month, coz nimepandisha video 2 🤣 hadi najishangaa.. huwezi amini nilitembea na zana lakini niliishia kuandaa script moja tu.