@mTusiOriginal Hata kama unammudu mtu au hummudu kupitia mitandaoni hutakiwi kumtukana mtu Kwa sababu binadamu tunategemeana huwezijua nani anaweza kuwa msaada kwako
@AlexSamoja Naam Watoto nineema kubwa au Kuna ile Mwenyezimungu amekupa Watoto Zaid ya mmoja Sasa huwa inatokea yule Mtoto Mdogo anatoa mashataka Kwa baba kuhusu Mtoto mkubwa kumuonea Mdogo ile feeling yaani hata kama mzazi ni mfagia Barabara unaweza kujiona kama manager wa Tanirodi
@SalimuIbwe@Joshymwemsi Kuna Shirika moja la serekali Wana kumbi za mikutano kuna vyoo wamesha vigawa kabisa ambavyo vingine vinakua na maji vingine vina tissue tu na baadhi ya staff wengi hutumia vyoo ambavyo vina tissue na hiyo inachagizwa na hao wafanyakazi wa Gavoo wengi ambao waliosomea abroad
@AnthonChaz@Decoull27 Bro unawadanganya watu makampuni mengi kama ya Usafi na Ulinzi hivyo Vigezo viwili (website na Gmail) mengi hawana na wanapata tender tu