Leo โ|
Medical Personnel |
Entrepreneur| Studying Astrology|sapiosexual
Bedrock of modern medicine| MLT ๐งฌ๐ฌ| Enthusiastic about Human Psychology|Dad
Wanaume wenzangu sikieni,kuna wale wanawake wanakuaga na sisi bega kwa bega, mguu kwa mguu wakati hatuna kitu tunatafuta na hawajawai kutuchoka,hawajawai kutaka kuondoka na kwenda kwa wenye navyo,Siku tukipata they deserve better,tusiwaache na kwenda ku-spend na ambae haikuwepo.
I swear we live in a simulation coz there is no fckn way that everytime i scroll down here, i find a tweet from someone half way around the world which explains my thoughts exactly.
Every one of them described people who claimed to be in two places at once just before they vanished.
At the centre was a handwritten note:
"If your tracker logs the third run... don't follow it."
My husband's history showed only two.
At 3:18 a.m. the following night...
The tracker buzzed again.
Outdoor Run Detected.
This time...
It wasn't on his wrist.
It was on mine.
Kipindi tunakua tukawa tunaambiwa hii mikanda ni ya watu wenye hechaivii hayo matobo yanasaidia kila akikonda aweze kuzungusha mkanda kiunoni, shida ikawa inakuja pale unanunuliwa sasa ili uvae na jeans yako ya FUBU, unalia umenunuliwa mkanda wa hechaivii ila jeans unataka kuvaa
Sports Diplomacy: Nimempongeza Balozi na Naibu Mwakilishi wa Spain ๐ช๐ธ Mhe. Clara Cabrera Brasero baada ya timu yao kushinda Kombe la Dunia. Pamoja na hayo, niliendelea na KAMPENI ya Tanzania ๐น๐ฟ kwa Jaji Nangela kugombea nafasi ya Jaji wa Mahakama ya Jinai-ICC kwa mwaka 2027-2036. Pia nimeomba kura ya Tanzania kuendelea kuwa mjumbe wa International Telecommunication Union (ITU) kwa kundi la Afrika. #nangela4iccjudge #nangelaforicc #TanzaniaforITUcouncil
Correction, kama unapenda series ambazo hazina mpangilio wa story wala matukio, mambo yanaibuka ibuka tu na risasi zinalia hovyo basi hii ndo yenyewe, hamna kitu apa. 4/10, hawa ni wahindi waliochangamka.
Sema yule Antony Joshua kwenye ngumi hamna kitu palee, hana tofauti na Deontay Wilder, ukiwatizama haraka haraka unaweza dhani wanakiwasha mbaya kabisa ila ni PR tu.
Katika harakakati za kumnadi mgombea wa Tanzania ๐น๐ฟ katika mahakama ta Kimataifa ya Jinai (ICC) Jaji Nangela, nimekutana na Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Afrika Kusini hapa Geneva dada yangu Tshilofelo Tsheole. Pia nimeomba watuunge mkono kwenye ITU Council ambapo Tanzania inagombea ujumbe kwa mara ya Pili. Ametutakia kila la kheri huku akikumbusha umuhimu wa nchi za SADC kuendeleza Umoja na mshikamano wetu katika chaguzi Sijazo. #NangelaforICC #TanzaniaforITUcouncil