The board is set. Are you ready to make your move? Join the KCB Open Chess Tournament 2026 from 17th–20th October at the KCB Leadership Centre and compete with some of the region’s brightest minds. Register today!
Before Ruto akue president:
- Nssf tulikua tunalipa Ksh 200 sai ni Ksh 2,400
- NHIF tulikua tunalipa Ksh 500 sai SHA ni
- Unga ilikua ilikua Ksh 110 sai ni Ksh 199
- Mafuta ya kupika ilikua Ksh 150 sai ni Ksh 240
- fare ya kutoka Fedha to Westlands ilikua 80bob sai ni Ksh 140
- Diesel ilikua Ksh 110 sai Ksh 227
Cement ilikua Ksh 650 sai ni Ksh 880
Amepanga kutumaliza jamani 😭
Winnie Odinga: It hurts me to see kwamba unaamka mapema, unafanya kazi mpaka usiku na mwisho wa mwezi bado unachagua 'ni rent ama school fees? Ni chakula ama ni dawa?' Halafu unaambiwa uongeze bidii. #UkumbushoWaBaba
"Nilipochukua Serikali 2022, bei ya petroli ilikuwa Ksh 129, bei ya Diesel ilikuwa Ksh 159 na bei ya Kerosene 103.
Nilipata huko kwa Epra na Ministry ya Energy and Petroleum kulikuwa na macartel, mimi nikapambana na wao. Niliwaambia mambo ni matatu. Sasa, tumestablize bei ya mafuta. Petroli ni Ksh 227, bei ya Diesel ni Ksh 228 na bei ya mafuta taa ni 218.
Hii maneno tulifanya ili kusawasisha kila mtu. Hapo mbeleni, ilikuwa watu walikuwa wananunua mafuta bei ya chini na wengine sehemu zingine wananunua bei ya juu. Ndio tunasema USAWA NI SAWA
AKILI BANAAAAAAA, AKILIIIIIIIII"~William Ruto
NEWS ALERT:
Ex Kiambu Governor Ferdinand Waititu has lost his appeal that sought to overturn his conviction and 12 years jail term in his Sh 588.7M graft case, court cancels his bail orders him taken back to prison
EPRA has sharply increased fuel prices for the October 15 to November 14, 2026, period.
— Super petrol up by Sh12.9 to Sh226.9 per litre
— Diesel up by Sh9.9 to Sh226.9 per litre
Hakuna kitu huwa rahisi kuangusha kama African countries just support both sides with weapons and ammunitions and step back, watch them maul each other
Mamae this is sad 😭💔......A man who is a kiambu resident is furious with Kiambu Mortuary after his child was allegedly eaten by rats while at the mortuary..
People who say raising kids is easy usually have someone else picking up their slack. Either financially or emotionally . There is nothing easy about bringing up well rounded children into adulthood.
It is unrealistic for Raila Odinga's body guard to claim on a national TV that William Ruto's gvt wanted to assassinate Baba. Bullets don't kill anyone, Infact it was usual car maintenance and of course the government wanted some Polka dots on Raila's car. Ruto loved Raila very much
Yes Kibaki stole Raila's win in 2007 but at least he knew how to run the country. Ruto stole in 2022 and 4 years down the road he still has no idea how to run a country
Sikutokea streets only to vote for an old guard. This guys have been in leadership even before we were born. Kenya si Uganda. The same energy we had in 2024 Reject Finance Bill protests is the same energy we are having now. We are not voting for a Kanu Orphan!!! Hapo tuelewane!