Hakuna kitu sijaona kwa mjengo.
Subcontractor wa welding deni ilifika 1.2M unpaid for 4 months.
Around 2pm akaleta drama kwa site nikakimbia nikajifungia kwa ofisi. Brooo alikama na machine akachomelea mlango ati nitatoka akilipwa. 5pm ivi nikakazwa na mkojo, nilikojolea thermos.