KWA WAKATOLIKI NA WAAMINI.
Kesho Mei 1 Tunaanza Novena Ya Bikira Maria Mfungua Mafundo Hadi Mei 9.
Mei 14 Tunaanza Novena Ya Mtakatifu Rita Wa Kashia Hadi Mei 25.
PS: Tunaingia mwezi wa Rozari, Tusisahau kusali Rozari ๐
@KPizoo@incredible_nory Hahaha miaka hy majengo kulikua og sana mchana pool table sana white horse au Y2K kwa king ushadaka gomba uswahil kwa halimaa unazam majengo sento kwa anko likinasa unawah freedom in unakamata kitemeo unamalizia pub alberto hahahhaha
@incredible_nory@KPizoo Hahaha ila hy miaka palikua na vibe sana hata o level kufaulu hapo majengo nilishukuru mana tulikua kama tumekuja kula raha nakumbuka bar zilizokua zinasumbua enzi hizo Mississippi, freedom In,white horse
@incredible_nory Pub sidhan kama ipo tena!!duh kitambo sana enzi hizo unazama liberty club mchana disco toto usiku unazama alberto baunsa RAJABU kanizingua sana sitakiwi ingia me bado mdogo hahha