Ila walipa kodi saa nyingine 😂😂, kuna mtu mmarekani ameuliza eti ile mission ya kwenda mwezini lengo lake lilikuwa kwenda kuangalia kama bado upo au la?
@ZuwenaKhatib@StoneSaphia Hiyo company unafanya kazi wakikulipa mshahara mwezi huu ondoka. Kampuni iliyonyooka kabisa hapa Tanzania haiwezi kupokea malipo cash ya truck hata tatu.
@lutenikanali23 Umewaza labda kipindi hujamuona labda alipata matatizo ya kiafya kapoteza baadhi ya kumbukumbu au tu uwezo wake wa kukumbuka watu ni mdogo?
BREAKING: Rasmi kampuni ya GSM Tanzania Limited imeshinda tenda ya kujenga Uwanja wa klabu ya Yanga kwa kushirikiana na klabu hiyo.
Rais wa klabu ya Yanga Sc, Eng. Hersi Said ndiye Mwenyekiti wa Kamati Maalum iliyoundwa kusimamia ujenzi wa uwanja huo, huku Wajumbe wa kamati hiyo watakuwa ni Wajumbe wote wa Kamati ya Utendaji ya Yanga SC.
Kamati hiyo itakutana na GSM Tanzania Limited kujadili kuanza kwa mradi huo.
#KitengeSports
@mellahcoffee@kapeto98 Yaan Mwenge mwaka 2000 ilikuwa ni pori? Kwani nyie mwaka 2000 mnauchukuliaje? Niliposema hakukuwa na viwanja nilimaanisha viliisha toka miaka 1970's huko.