SULUHISHO LA KWANZA LA KUDUMU LA TATIZO LA AJIRA TANZANIA.
Tukumbuke kuwa ukosefu wa ajira unasababisha
1. Msongo wa mawazo.
2. Unapalilia umaskini
3. Unapunguza kujiamini kwa vijana wengi ππΏ
Leo nimekuja na wazo lenye suluhu ya kudumu.
Na Deograsius Andrew.
#Thread
Economically.!
At the individual level, when facing a budget deficit, the first advisable solution is to reduce spending rather than sell assets to finance the shortfall. I believe the same principle applies at the national level. π
@mofURT
@TweveDevota@PresenterNoah Hii inategemea na aina (Nature) ya unemployment ya mwombaji.
Mfano mwombaji mwenye termination hupewa mafao yake yote.
Ila kama una either end of contract au resignation basi utapewa 33% then nyingine utapokea kidogo kidogo.
Sambamba na hilo kuna vigezo vya taaluma pia π€£
@PresenterNoah Punde tu ulimaliza kujaza taarifa zako(lodging claim). Hatua inayofuata ni claim verification ambayo huenda moja kwa moja kwenye acount ya nssf ya muajiri online so ataingia na kukagua nyaraka ulizoambatanisha kama kweli zimetolewa na kampuni yake kisha ata click verify. Boom
Foleni ni kitu kinachonikwaza sana.
Nishawahi kukaa masaa 8 kwenye foleni ya kujiandikisha kitu fulani muhimu ila sio cha lazima ilipokaribia zamu yangu muda ukawa umeisha zoezi likafungwa mpaka siku inayofuata. π€£
na siku iliyofuata foleni ikaanza upya.!π Ilaaa.!
Tumenyimwa penati ndio lakini tunahtaji kuboresha ukatili langoni, zile nafasi mbili za wazi tungezitumia mechi ingaisha 2 - 1 na tusingelalama kuhusu penati.
Ukikumbuka mechi ya Yanga na Mamelodi CAFCL mwaka juzi na hii mechi ya leo unagundua Miguel Gamondi ni mwalimu aiseeπ
Vipaji halisi vinapotea kwa sababu main stream na wadau wote wa budurani tumeamua tu kuintertain wachekeshaji wasanii. Mziki wetu na soko letu la sanaa litatoboa kimataifa kweli na hawa akina king'amuzi na Mama amina.? Tuweni serious Mazee.!
@Iamfelixtz Mwenyekiti anasema "uongozi sio matokeo" tuseme yuko sahihi sasa tuseme Timu kama simba yenyewe lengo lake kuu huwa ni mataji na mafanikio na yote hayo ili uyapate lazima upate matokeo.
Sasa kama viongozi wa wanasema uongozi wao hauna uhusiano na mtokeo basi watoke