Visendi and NOW Kasyoka are the latest #SportPesaGoalRush millionaires, 10 million EACH! YOU are NEXT, PLAY for FREE & WIN NOW
https://t.co/kJ5i0bsleE
Women are not pipoos, married cats tunaona kivumbi kwa hiyo institution si mchezo. Unapata bibi ame-order some funny herbal medicine huko Instagram eti yaku maliza tumbo. Na juu pia wewe ukona kitambi, anaamua kufanya lab testing na wewe kwanza.
Uko busy umekalia chai na chapaat asubuhi, kumbe huko ndani walikuwekea Herb kama kiungo. Unaskia chai inanuka mdalasini lakini inaonja kama ukwaju, wewe una meza meza tu fwaaa bila kuulizia maswali bcoz as a married man, umezoea kupikiwa trash anyway.
Ukifika job ndio dawa inaamua kufanya kazi sasa.
Unahara siku mzima hadi unakosa nguvu yaku blink macho, na juu umezoea kupitia mabasement jioni kukula mutura, first suspect ni wร mbugus. Unasema hutawai pitia huko tena juu nikama wameanza kupika samosa za paka.
Jioni ukirudi kwa nyumba bibi anaanza kukuhoji vile siku yako imekua ndio ajuwe kama herbs yake iko safe for use. Huwezi sema umeshinda ukihara juu utaulizwa ni wapi huko ulipitia kukula takataka, inabidi useme leo umechoka saiidi juu umeshinda tu field work nothing much.
Then gaidi anapea the herbs green light anaamua kuanza kuitumia. Ole wake msenge, usiku wa manane unaskia gaidi ako kwa choo ni ma-gear tu ana change. Anahara aki whistle, unaskia akiji ongelesha "sasa ni nini hizi waliniuzia wajameni, na kwani hiyo ya baba Liam siku pima kijiko vizuri".
Hapo ndio unakuja kugunduwa kumbe mkeo kakugeuza lab rat, kazi nikufanya research na kinyambisi yako. Ayaam telling you my brother, a man benefits nothing in marriage, hiyo institution bibi anaeza kuwekea sumu kwa chakula aone kama inaeza malisaa ile panya inakula mahindi yake kwa store. That begs the question, Is William Ruto really Human?