@Mapungo2020 Kuto wasikiliza ndio kumewafikidha hapo. Si jambo jema hili. Unaona limekuija kwa bahsti mbaya?? Haya ni matunda ya hasira zilizo gubikwa mioyoni mwa watu wanyonge. Naipenda nchi yangu nachagua Amani bali bila haki hakutakuwa na Amani ya kweli.
@SportsarenatzTz Kwanini adhabu ya Bacca kafungiwa mechi 5 wakati red card ingetolewa ingekuwa ni mechi 3?? Na je, Bodi ya ligi haikuona rafu alochezewa Israel Mwenda??
@swahilitimes Why michezo mitano?? Kama kosa ni la red cad je, instability kuwa mechi 5?? Na kama refa hakuona so why iwe kwa Bacca tu , je hawakuona kosa alilofanyiwa Bacca?? Na je, alichofanyiwa Mwenda ilikuwa ni sawa?