@Thommunkondya@rose_mayemba Me mtu akianzaga kuingiza viingereza kwenye mambo ambayo kiswahili kinatosha najua tu hamna kitu Ila anatumia lugha kujificha
Niko mbioni kuzindua Mfuko wa Ubunifu (Startup Fund) wenye thamani ya shilingi bilioni 25 kusaidia wana teknolojia, akili bandia (AI), fintech, na wabunifu wa kiteknolojia hapa Tanzania na Afrika.
Tutatoa michango na uwekezaji kusaidia vijana wabunifu wenye mawazo ya kubadilisha dunia.
Andaieni mawazo yenu — muda umefika!
#Ubunifu #Teknolojia #AI #Fintech #Tanzania #AfricaRising