"Niliondoka huku 'twitter' kwa zaidi ya miaka minne (4), na wakati huo nilikuwa naishi maisha feki (nikiwa SIJAOKOKA) sasa nimerejea as Christ Believer, na niko very proud kwa hatua hii na nimeanza kula mema ya nchi" - Kocha & Mwl Deus M.Ndololo
#WinnerMan