TAHADHARI KWA WAAGIZAJI WA MAGARI (USED VEHICLES) KUTOKA UINGEREZA
Ubalozi umepokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi waliotuma fedha nchini Uingereza kwa ajili ya kununua magari, lakini hawajayapokea kwa zaidi ya miezi sita, hali iliyosababisha hasara na usumbufu mkubwa.
Tunatoa rai kwa wote wanaokusudia kununua magari yaliyotumika kutoka Uingereza kuzingatia tahadhari zifuatazo:
โข Hakikisha kampuni unayonunua nayo imesajiliwa na ipo hai (active) nchini Uingereza. Unaweza kufanya uhakiki kwa kupitia tovuti ya Serikali:ย https://t.co/G8QpwTkm0i
โข Ingia mkataba rasmi wa manunuzi kabla ya kufanya malipo.
โข Tumia Letter of Credit (LoC) badala ya kutuma fedha moja kwa moja (TT), hasa kwa malipo makubwa.
โข Hakiki historia ya gari kupitia:ย https://t.co/zQko1lo7rY
โข Fanya ukaguzi wa gari kabla ya kusafirishwa (pre-shipment inspection).
Kuchukua hatua hizi ni njia bora ya kujilinda dhidi ya udanganyifu na hasara zisizo za lazima.
Ubalozi unasisitiza umakini na tahadhari katika manunuzi ya kimataifa.
Bank of Tanzania holds the policy rate at 5.75% in January meeting.
East African Community countries policy rates:
โธ ๐น๐ฟ | Tanzania: 5.75%
โธ ๐ท๐ผ | Rwanda: 6.75%
โธ ๐ฐ๐ช | Kenya: 9.00%
โธ ๐บ๐ฌ | Uganda: 9.75%
โธ ๐ง๐ฎ | Burundi: 12.00%
โธ ๐ธ๐ธ | South Sudan: 13.00%
โธ ๐จ๐ฉ | Democratic Republic of the Congo: 17.50%
โธ ๐ธ๐ด | Somalia: โ
Malaria remains a formidable public health challenge, with high incidence and mortality rates concentrated in Nigeria, the DRC, Niger, and Tanzania.
In 2024, these four nations accounted for more than half of the global malaria-related deaths, with Nigeria alone contributing 30.3% of the fatalities.
Significant progress has been made, including preventive measures like malaria vaccines and advanced insecticide-treated nets, reducing cases and deaths.
Countries such as Cabo Verde, Egypt, Georgia, Suriname, and Timor-Leste achieved malaria-free certifications in recent years.
Jesus Christ is:
King of kings
Lord of lords
Prince of Peace
Messiah
Savior
Alpha and Omega
Bread of Life
Author of Salvation
Light of the World
Word of God
Faithful and True
Way, Truth, and Life
Friend of Sinners
Bridegroom
Son of Man
Lamb of God
Redeemer
Can I get an amen?!