@halimamdee Acha uongo, unafatiliwa na nani? Na kwa kipi? Mbona huna faida yo yote kwa Watanzania? Nadhani hiyo ndio tabia yenu Chadema.Unatafuta tension mwishoni? Hizo mbinu zenu tumezichoka tafuteni mbinu zingine.Kwani nyie mna tofauti gani na vyama vinginevyo? Kila siku vituko ni nyie tu?
@JOZEEOFFICIALL We ndio mpumbavu kweli, kama ni mwanaume kweli, una ujasiri wa kumtukana Rais wetu, toka mbele tukuone basi. Mbona unajificha? Domo kama .......... pumbavu.
@TunduALissu Kenya hawataki ushoga, na hawataki kukusikia, kama ambavyo tulio wengi hatutaki kusikia, neno Tundu Lissu, ebu siku zifike tukuondoe kwa amani urudi kwenu Ubelgiji. Kwani toka umerudi unatukera tu. Yaani mimi nikikuona unavyo panua domo lako chafu,kwa kweli nachukia mpaka bas
@zittokabwe We tatua tatizo basi, au kazi yako ni kutafuta makosa. Hata Nchi za nje, zilizo endelea nao mafuriko ni makubwa tu, mvua inapo nyesha kama jana. Hivyo kijana punguza micheche, nenda katafute kura, angalau upate hata mbunge mmoja zaidi yako.Zaidi ya hapo tuliza domo lako, shindwa
@TunduALissu We ongea sera zako, tumechoka kusikiliza ngonjera na matusi. Bora uchaguzi uishe ili utupishe, urudi kwenu Belgium, ambako nadhani hata wao hawakutaki, tupate kupumzika wenzio. Yaani wengine tumechoka hata kusikia sauti yako, iliyo jaa shari.
@halimamdee@MagufuliJP We bi Kidude, chonde chonde achana na Rais wetu, sisi wote ni wanawake, tunaona anacho fanya. Rais wetu ni mcheshi, anapenda sana utani. Na sisi wengi wetu tunapenda kumsikiliza. Maisha bila utani kidogo, ni shidaaa. Na kama unatafuta kiki kwa kupambana na Magu nadhani umepotea
@kabwelahoi @PendoA2 @IamJongwe__ Kwani Tundu ana nini? Kuropoka hovyo? We kalagabao, kaa hivyo hivyo uone kama Tundu ana cha kukusaidia. Usilo lijua ni kama usiku wa giza. Ushabiki wa kufata upepo. Jamani chapa kazi, hapa kazi tu, msitegemee miujiza.
@TunduALissu Hata hivyo Lissu ni mgonjwa wa akili,ingebidi akapimwe kwanza. Unaweza kuta tunapambana na kichaa, matokeo yake tutaonekana wote vichaa.Kwani ukimuangalia hata sura yake na maneno yanayo mtoka kinywani, ni kichaa kabisa. Na ndio maana kila neno, anabugia maji kwa kwenda mbele
@halimamdee Halima wewe pambana na Mchungaji Gwajima, mbona unatapatapa? Rais Magufuli sio size yako,Jike dume, usiye jitambua kuwa kesho utakuwa nje ya siasa. Acha kutuharibia vijana wetu, kwani ndoto za kuchukua Nchi, ni ndoto za alinacha. Watanzania tulio wengi na wapiga kura tuko macho.
@TunduALissu Acha kufanya comparison ya wewe na Rais, wewe unahangaika kupata Urais,Magufuli ni Rais wa Nchi mpaka dak. hii, na pili naye anagombea kwa mara nyingine, yeye ana nafasi mbili kwa wakati mmoja. Kuitisha Wakurugenzi ni sehemu ya kazi yake, hivyo acha kuchochea ujinga Urais hupati.
@TunduALissu Na wala Lisu hujawahi kupata wingi wa watu kama Lowassa, unashangaa kwa hao wachache Kwa sababu hukuwahi kuwategemea, kwa ujinga wa maneno yako na matusi na kuachiwa huru ufanye hivyo vinakufanya,ushindwe kujiamini na kuishia kumtukana Rais wetu.tunasema kwa sauti achana naMagu
@TunduALissu Lissu huwezi kujipima na Rais kwa hao vijana wachache wanao kuja Kukushangaa kwenye mikutano yako, labda kama unajipima na vyama pinzani wenzio. Rais anajaza viwanja vya mpira mpaka ndani Kati na nje ya uwanja, wewe unajaza sawa na watu wanaomsimamisha Rais njiani.
@mbowe_ya@TunduALissu Acha kutuvuruga Watanzania tumakuchoka na matusi yako, shukuru umepata bahati ya kutapika ujinga wako safari hii, nadhani Mbowe hatafanya makosa haya tena. Wastaarabu tuko wengi tunakuangalia, hupati Uraisi Tanzania kamwe. Achana na Rais wetu.
@TunduALissu Chadema acheni kujidanganya, wapiga kura wengi wanajaa mikutano ya CCM, kwa ajili ya kwenda kumsikiliza Rais Magu anasema nini, Na Chadema wanao jaa wengi wao sio wapiga kura, ni vijana wadogo na wahuni wengi kama chama kilivyo, wanafurahia kuona Lissu anavyo ropoka, karagabao
@zittokabwe Wategemea cha makaburu, watakufa maskini. Kwa jinsi ninavyo wajua Watanzania, Wapinzani mbona mtaisoma namba? Uzuri wa Watanzania ni woga sana wa vita na njaa. Ebu sisi tusonge mbele na Magu wetu. Magufuli hoyeee, chapa kazi Rais yetu mpendwa, tuko nyuma yako, tumachelewa sana.
@zittokabwe Tatizo ulilo nalo Lissu ni kujaribu kujilinganisha na Magufuli, kitu ambacho si kweli kabisa. Shukuru ya kwamba, wewe ni Mwenyekiti, tena mwenyekiti ambaye huna mbunge hata mmoja. Hiyo bahati ndio inakufanya uitumie vibaya, la sivyo huna hata sifa ya kukaa kumuongelea Magufuli.
@zittokabwe Acha uongo, usitusemee Watanzania. Mabadiliko tunayo yataka ndio hayo Rais Magufuli anayafanya. Hakuna cha mama mtu mzima wala nani, aliyekufuata.Rais Magu wakina mama wanamfuata hadharani tunaona, wewe unafuatwa nyumbani? Hatudanganyiki kamwe asilani. Maendeleo ni Magufuli tuu
@zittokabwe Samahani Watanzania wenzangu, nilikuwa nina maanisha michikichi na wala sio korosho, Waziri Mkuu alienda Kigoma zaidi ya mara tatu, kuhamasisha ufufuaji wa zao hilo, ili tuweze kazalisha mafuta mengi ya mawese.
@zittokabwe Wakati Waziri Mkuu yuko Kigoma anahamasisha ufufuaji wa zao la korosho, Watanzania tulimshuhudia na wala haikuwa siri, na alifanya hivyo zaidi ya mara tatu, wewe huna shukran na adabu kabisa, unasema uongo kwa faida ya nani? kukanusha kila kitu ni kawaida yako,mbona unaeleweka.
@GoodluckManji@ChademaTz@TunduALissu Ilikuwa miaka iliyopita, kwa sasa Watanzania wameamka wanataka maendeleo, na maendeleo yataletwa na CCM. Kwani wapinzani walio wengi sio waaminifu wanaganga njaa. Hivyo hiyo mikoa uliyoitaja tumeamka, hatudanganyiki tena.