Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC.
Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.
Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.
Tunafuatilia.
HATURUDI NYUMA….. SAFARI YA UKOMBOZI HAIJAWAHI KUWA RAHISI. Ushindi ni lazma na TUTASHINDA…..
Kuanzia sasa Tanzania ni lazma kuwe na maandamano all the time mpaka haki ipatikane kwenye nchi yetu. Haki kwanza , haki ikipatikana amani itafuata automatically.
#Tanzania: Ahead of protests planned for Independence Day on 9 December, UN Human Rights Office reminds security forces they must refrain from using force to disperse non-violent assemblies and make every effort to de-escalate tensions.
https://t.co/TCUGfgGFqU
Ingieni https://t.co/VMKyFTD4PD
Zaidi ya kuweza kuorodhesha wahanga ina orodha ya ICC
Chekini na kama kuna marekebisho au wa kumwongeza leteni!
Muda ndo huu✊🏽
#D9 tutajua wa kuwaongeza! Atakayeleta kauli chafu za kuchochea au kufadhili ukatili huu tutamwongeza hapo
#SamiaMustGo #D9Tunatoka
Tanzanian activist Mange Kimambi has appealed directly to U.S. President Donald Trump after Meta abruptly deleted her Instagram account followed by her news page wananchi forum and her WhatsApp broadcast platform.
Kimambi, who resides in the United States, says her pages were essential for reporting alleged human rights violations, election-related violence, and corruption during Tanzania’s recent polls, where President Samia Suluhu Hassan was officially declared victor with more than 98% of the vote.
She adds that fellow activist Maria Sarungi has also had her Instagram account taken down. Kimambi is now urging Trump to press Meta to restore the platforms and introduce stronger protections for dissenting voices, noting that millions of Tanzanians depend on these digital channels amid tightening media controls and government pressure.
This report underscores the disturbing actions by the Tanzanian Government to suppress protestors. Evidence of mass graves show an unacceptable attempt to cover-up gross violations of human rights.
There must be an independent investigation into these tragic acts immediately.
Ukiachana na Local Media ambazo always huwa ni useless, janga kubwa kwa sasa ni Mobile Network Operators (watoa huduma za simu) & Internet Service Providers kwa kushirikiana na TCRA, these are most dangerous and useless Institutions kwenye nchi hii.