@nasrabijongo Wanaume tuache tabia za namna hiyo, hapo akikufungulia kesi ya kumdhalilisha kingono, na amefukuzwa kazi inayomsaidia kukidhi mahitaji, ama kuhudumia familia pengine anasomesha, una hela ya kumlipa?
Mama zetu hao bana, angekuwa dada ako?
@ummymwalimu Mdogo wangu kafaulu vizuri CBG...
cha ajabu kapelekwa kusomea ualimu wa awali, sasa mtoto mdogo akasome ualimu kweli? Kuna umhimu wa kuangalia ni kombi gani mwanafunzi kafaulu ndipo apangiwe ni wapi achaguliwe, nimesikitishwa sana!