@IAMartin_ Haaaaah. Kama ndio hivyo jaji naamini atawafunga kwa maelekezo. Ila haki ya mtu haijawahi kupotea inacheleweshwa tu. Mungu wa mbinguni watetee waja wako
@millardayo Laiti wangelijua jinsi ilivyo dawa kubwa kwa matatizo mazito kwa binadamu. Hiyo sheria wangefuta haraka sana. Sababu tunaona jinsi wenzetu wanavyoteseka vitandani kwa muda mrefu. Mungu atusaidie kujua miti na miemea yakusaidia ndo inapigwa marufu
@IAMartin_ Daaaah yaani hili ndo jibu nililolitegemea kwa jinsi nilivyokuwa namwomba Mungu. Ila Mungu wetu hajawahi kulala na kumwacha Mbowe na hao watuhumiwa wengine.
@IAMartin_@Tigo_TZ Hii imenikumbusha katika pitapita yangu niliikuta Nchi jirani kipindi cha nyuma kidogo wananchi walisusia kutumia mtandao wa safaricom na kunywa maziwa wakitaka haki kutendeka. Kwa sasa mambo kwao yako shwari wanabaki kutushangaa. Mungu atusaidie kubadili ifahamwao