@jokateM Hongera sana Dada yangu Kipenzi na Kiongozi wangu Katibu wa UVCCM TAIFA Ndugu @jokateM kwa kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha unatutia vijana nguvu ktk yale tunayoyaendea. Mungu akulinde uishi miaka 100 , Huna Baya Madam JUM
Jana nimeshiriki kongamano la Vijana la kuonesha Mafanikio, Fursa na maendeleo ndani ya Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais Dkt Hussen Ali Mwinyi katika Ukumbi wa Umoja ni Nguvu Mkoani Pemba ambalo lilifunguliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
HII NI KINONDONI WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUMSIKILIZA MWENEZI CPA MAKALLA
Katibu wa NEC -Itikadi, Uenezi na Mafunzo na Mlezi wa Mkoa wa Dar es Salaam (Kichama) Ndugu CPA Amos Makalla amepokelewa na Wananchi wa Jimbo la Kinondoni ikiwa ni Muendelezo wa Ziara zake za kukagua na kuzungumza na Wananchi wa Majimbo 10 ya Uchaguzi Mkoa wa Dar es salam .
Makalla amezungumza na Wananchi wengi waliojitokeza Katika Viwanja vya Mwinjuma Mwananyamala .
๐ 17 Julai 2024.
Ziara ya Mlezi wa Mkoa wa Dar es salam.
#CCMImara
#VitendoVinaSauti
#TunaendeleaNaMama
#KaziIendelee
HII NI KINONDONI WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUMSIKILIZA MWENEZI CPA MAKALLA
Katibu wa NEC -Itikadi, Uenezi na Mafunzo na Mlezi wa Mkoa wa Dar Es Salaam (Kichama)Ndugu CPA Amos Makalla amepokelewa na Wananchi wa Jimbo la Kinondoni ikiwa ni Muendelezo wa Ziara zake za kukagua na kuzungumza na Wananchi wa Majimbo 10 ya Uchaguzi Mkoa wa Dar Es Salaam .