Maria na genge lake la Nairobi ni njaa tu hawana harakati wanajua, they want to prove kwa wanaowalisha kuwa wanafanya kazi ili walipwe.
Hata recruitment zao zote wanawatengeneza kwenye mindset hio hapo mtegemee matokeo zero sanaππ
Ningeomba kila Mtanzania afikirie kwa kina na kisha tutoe mawazo yetu nini kibadilike kwa wanaharakati.
Mimi personally naona kama wanaharaki wengi harakati zao zinaharibu movement kuliko kupeleka movement mbele.
Just because tuko same side doesnβt mean tuangalie tu pale some of us kazi wanayofanya ni more damaging to the movement kuliko kusaidia movement.
Yani mpaka naona kama kunahitajika training ya wanaharakati kufanyika au labda kuwe na group la wanaharakati ambapo kabla mtu hajaposti upuuzi wowote ambao katumiwa DM anatuma kwenye group then wanaharakati wengine wanatoa mawazo.
Too much fake news na ukurupukaji wa habari kitu ambacho sasa kinafanya wanaharaki wote tuonekane waongo with zero credibility.
Yani wao kila kitu anachotumiwa DM wanaruka nacho without thinking.
Hakuna strategy ya mapambano hakuna matumizi ya akili, hakuna strategy ya kuondoa wananchi uwoga na kuwawekea safe space ya kukutana na wananchi wenye fikra kama zao. Hakuna effort ya kujenga sailoji ya wananchi ni kuposti upuuzi wanaokota okota huko.
Wanaharakti wengi are killing the movement instead of advancing it kwa sababu ya ukurupukaji.
Hawajui hata target audience yao ni nani na jinsi ya kuwatengenezea safe space kwenye platform zao. Wao wanadhani the whole of Tanzania is their target audience, hapana target audience ni Watanzania wanaodai ha tu.
Naomba tushauriane jinsi ya kudili na hili tatizo.
Mfano I saw 3 huge mistakes just this last week alone, tena wiki ya maandamano, Story ya kimama kukimbia nchi, then akajitokeza kuwaharibia credibility kwa wanancji, ile barua feki ya wanafunzi wa vyuo vikuu na mbaya zaidi ile ya jana usiku wa manane wanaharakati wanaposti na kuriposti habari ya kuwaarifu Watanzania kuwa wauwaji wa KMKM kutoka Zanzibar wameingia bara na kuvalishwa nguo za polisi, really, hii ndio message ya mwisho wanaharakati kuwapa waandamanaji??? So CCM wawape habari za kutisha na nyie pia muwape za kutisha.
Alafu naomba mnisamehe kwa ambao nitawakwaza. Sio kama nataka kuwa kiongozi wa movement au kujifanya mjuaji na wengine hawajui, hapana hakuna kiranja kwenye hii movement, wote tuko sawa ila lazma turekebishane la sivyo hakuna mwananchi atatoka kuandamana kwa kuhamasishwa na watu ambao hawana credibility!!!! THIS IS WHY NAONGEA!!!!!!!!! Bila kujenga credibility na uaminifu na u-seriousness na kujenga saikolojia za Watanzania hakuna Mtanzania atatoka kuandamana tena, watakuwa wanafanya maandamano ya kukaa ndani, which is not enough
Mchana mnatupia suti na kukanusha kwa nguvu zote, usiku mnaingia "Chakula cha Usiku" kuratibu machafuko!
CHADEMA na "wanaharakati" wenu, mbona sasa sauti za kwenye mitandao na hotuba zenu za majukwaani hazioani? Mbinu za kizamani hizi, nchi haiendeshwi kwa ramli za mitandaoni.
@zittokabwe@NgomeyaVijana Zitto ziko wapi zile nyakati zako za kushauri serikali kwa hekima, na serikali kufanyia Kazi mawazo Yako?
CCM sio Chama cha Mihemko na kufuata upepo Kila Leo tunaona Jitahida kubwa zinazofanywa kuhakikisha inapunguza gape la ajira
"Demokrasia haipimwi kwa nani kashinda uchaguzi, bali kwa jinsi tunavyoendesha mambo yetu baada ya uchaguzi. Tutakuwa na nguvu zaidi pale kila sauti, chanya na hasi, zinaposikilizwa, kuheshimiwa na kuthaminiwa, na vile vile, tunapoweza kuponya penye maumivu" SSH
#ProtectDemocracy
"Niwasihi Watanzania tuchague hekima badala ya ghadhabu; busara badala ya mihemuko; upendo badala ya chuki; uvumilivu badala ya vinyongo; umoja badala ya mgawanyiko; amani badala ya vurugu unyenyekevu badala la kiburi; na huruma badala ya hasira"
#SuluhuForReform#FutureTanzania
"Hatuna budi kuhakikisha tunahimizana umoja na upendo kwa nchi yetu, tunadumisha amani na kuheshimu sheria za nchi. Kinyume cha hayo, Maandamano, vurugu na uvunjifu wa amani, husababisha maumivu na havileti manufaa wala faida kwa yeyote". @SuluhuSamia#SuluhuListens
"Sifa moja ya Mwanadamu ni kutokukamilika, aliekamilika kabisa kabisa bila kasoro yoyote ni Mwenyezi Mungu peke yake. Ndio maana, katika shughuli au harakati za wanaadamu tunaunganishwa na mawasiliano, mazungumzo na maelewano" @SuluhuSamia#SuluhuForPeace#TanzaniaDialogue
"Nitumie fursa hii, kutoa onyo kwa wale wote waliochochea uvunjifu wa amani, na nawataka watambue kuwa vurugu
na uvunjifu wa amani huishia kupimana nguvu na uwezo wa kujihami, ila mazungumzo huzaa mshikamano. Tuchague lenye manufaa kwetu". @SuluhuSamia#PeaceInTanzania
"Kilichotokea hakiendani na taswira na sifa za Kitanzania na sio Utanzania.
Haikutushangaza kuona kuwa baadhi wa vijana waliokamatwa kutokana na
kadhia hio wametoka nje ya Tanzania". @SuluhuSamia#ProtectDemocracy#GenZTZ
"Wote tunaoitakia mema nchi hii tumesikitishwa na kuhuzunishwa na matukio ya uvunjifu wa amani, upotevu wa maisha na uharibifu wa mali za Umma na mali za Watu binafsi kwenye baadhi ya maeneo nchini, hasa kwenye Majiji na Miji". @SuluhuSamia#WriteTheFuture#UnitedForTZ