@privaldinho Uwa nafatilia sana post zako ii nimejibu maana bro umeweka mahaba pembeni nakusifia tanzania ndiyo tunataka muwe mnaandika vitu vya akili kama ivi yani
Mungu kwa huruma yako umetulinda na hatari za roho na mwili. Tumeiona siku mpya kwa rehema na fadhili zako Baba uliye mwema. Tunakupenda na endelea kutulinda Daima.